Mrejesho

Mrejesho

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
516
Reaction score
815
Wakuu habari za weekend!

Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.

Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.

Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.

Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.

Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.

Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,

Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.

Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.

NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
 
Kwako demu mbaya ni yupi? Unajua unaweza kumuona mwanamke mbaya wakati mwingine anamuona ni mzuri?

Wewe ni mzuri?

Usiite mtu/mwanamke ni mbaya wakati hujamuumba wewe na wala hujui anaishije anakula nini. Na wewe wala sio kipimio cha kusema huyu mbaya huyu mzuri!
 
Habari za mchana!
Naomba nikuulize, ulikuwa unafanya utafiti, unatafuta mke, au unatafuta rafiki?!

Kama jibu lako ni mojawapo, tambua jambo moja, hakuna kitu muhimu kama kuwa na kifua. Hukumpata uliyekuwa unamtarajia basi baki nalo. Hakuna mtu mbaya, awe mwanamke au mwanaume! Kila mmoja ako na uzuri wake!

Hii ni jamii, kuna watu wa kila aina! Wenye maumbo tofauti, wenye kimo tofauti na wenye rangi tofauti!

Weekend njema.
 
Nina uhakika hauongelei JF hiiii

utakua umetupa mrejesho wa huko FB
 
Sijawahi pata kismati hata cha kupata namba ya dada pm

naanzaje kuipata kwanza,kuna watu mna mavipaji yenu bana
 
Hahaha I feel dejavu...nadhani nilishawahi kuona uzi kama huu hpa jukwaAni...wengi walimtuhumu kama mshamba but i think not.....

Pole mkuu
 
Back
Top Bottom