Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 349
- 503
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea.
Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable zipo.
Anayependa kuwekeza kuchukua mawazo haya kuwa biashara karibu tufanye kazi siyo lazima tuanze na kiwanda kikubwa tunaweza kuanza hata kiwanda bubu na biashara ikaenda.asante hapa ndo nilipofikia.
Soma Pia:
Mwenye mawazo karibusana

Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali zenye ubora wa juu, ladha murua, na zinazokidhi viwango vya soko.
Nina maarifa ya kina katika mchakato mzima wa uzalishaji, udhibiti wa ubora, na hata mbinu bora za masoko. Najua ni viungo gani vinavyotengeneza bidhaa bora, teknolojia sahihi za uzalishaji, na vigezo vya kuhakikisha tunatoa bidhaa...

- Nevergive up
- biashara faida fursa kali katika kubwa pombe pombe kali utengenezaji uwekezaji
- Replies: 48
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Mwenye mawazo karibusana