Mrejesho wa Christmas kwenye picha

Mrejesho wa Christmas kwenye picha

Mwandishi wa habari toka chuo kikuu cha shilawadu uko vizuri
 
Hii mistari inapatikana katika vile vitabu vilivyoondolewa katika Biblia lkn Katoliki utavikuta vinaitwa DEUTEROKANONI
nacho ni Kitabu cha SIRA mwana wa Joshua
Kitabu cha SIRA mlango wa 31 nitaendelea mstari wa 30
30: Ulevi huongeza hasira ya Mpumbavu akajiumiza mwenyewe
humdhoofisha na kummuongezea majeraha
31: Usimkaripie jirani yako kwenye pombe wala usimdharau
anapofurahia karamu Usimwambie neno la kumuonya wala
Usimsumbue kwa kumtakaalipe deni
Asante mkuu bby alikuwa hapendi hata nipige safari moja ngoja nimuoneshe
 
Safi sana hamna kusogeleana
48947259_748182702208533_4210852667905277952_n.jpg
 
Back
Top Bottom