Huo muhogo mbona kuna dalili kua umeshachimbwa.Sijui kama huu mgongo uliponaView attachment 977681
Kuna wanawake wawili walitiwa nguvuni kwa kusagana na kufunga ndoa kabisa kule Mwanza.Unaliongeleaje hilo?Ila majina yao yamenitoka.Ndio maana Chadema wanataka "ushoga uruhusiwe ili kuongeza pato"
Hapo hajaimaliza je angemaliza kuinywa si angehamia kwenye mbao kabisa?(kufa)Yero hakujua kuna pombe zina kilevi na nyingine zina arikohori [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 977674
Hiyo ya juu hadi chibuku mtu chali..Featuring ambarutiView attachment 977676View attachment 977677
Baada ya hapo lorgeHaijawahi kumaliza sikukuu yangu salamaaView attachment 977678
Hiyo umber ruty mbona kama ya mkuu wa mkoaSijui kama huu mgongo uliponaView attachment 977681
Ya nini tena mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]ningepata tenda dah
Nilinde mkuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Picha inaonyesha ilipigwa tarehe 16/09/2018.Haijawahi kumaliza sikukuu yangu salamaaView attachment 977678
Haaaa siamini waweza nimeza weweUsijali siku hizi ni joka la kibisa