Mrejesho wa Christmas kwenye picha

Mrejesho wa Christmas kwenye picha

IMG_0519.JPG
 
Hii mistari inapatikana katika vile vitabu vilivyoondolewa katika Biblia lkn Katoliki utavikuta vinaitwa DEUTEROKANONI
nacho ni Kitabu cha SIRA mwana wa Joshua
Kitabu cha SIRA mlango wa 31 nitaendelea mstari wa 30
30: Ulevi huongeza hasira ya Mpumbavu akajiumiza mwenyewe
humdhoofisha na kummuongezea majeraha
31: Usimkaripie jirani yako kwenye pombe wala usimdharau
anapofurahia karamu Usimwambie neno la kumuonya wala
Usimsumbue kwa kumtakaalipe deni
 
Back
Top Bottom