Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

Hazbend hata hadithi yake ya kwanza ni chai tupu

Hata hii mtiririko na maelezo yake ni chai tu....tena chai mbayaaaa yenye aloevera


Wife usiingizwe mkenge... fuatilia threads zake za nyumba utagundua hili jamaa ni jiongo balaa. FYI lenyewe limeshasema kikojoleo chake si rizki...

Mijitu kama hii inaniudhi sana. Shwain!!
 
Wasukuma ni noma sana
Kuna jamaa jirani yangu kwenye sehemu ya biashara yeye huwa saa 12 ameshafika kufungua wakati maduka yanafunguliwa saa mbili hadi tatu hapa mwanza mjini
Na yeye tukishafunga saa 12 jioni anatafuta vijiwe vya kupoteza muda hadi saa sita usiku nikaja siku moja kumuuliza kwanini hupendi kukaa na family yako?
Akaniambia mke wake ni msukuma ameleta ndugu zake watano wamejazana huko home kwa hiyo hana hamu ya kuwahi na walikuja na mchele gunia wamekaa hadi limeisha na hawaondoki eti wamekuja tu kusalimia
Daaah,nabakia kucheka tu,
 
Kama ulivyoambiwa nothing is good or bad but your thinking make it so,huyo dada mhalilishe awe mkeo,na ukimwambia wife kuhusu hao ndugu akivaa jeans zake unahamia nyumba ndogo.sina mengi mkuu.
 
Wakuu habari za ujenzi Wa taifa
Mtakumbuka 2 weeks ago nilikuja kuwaomba Ushauri baada ya kugongana uso kwa uso na mke Wa Rafiki yangu guest akitoka room na zee moja hivi huku na mm nikiwa na mchepuko ambao yy hakuuona .
Hivyo akaniomba nimfichie siri bado anaipenda ndoa yake
Rejea post hiyo kwa Maelezo zaidi.

Mazungumzo
Alikua amependekeza tumalizane kiutu uzima ili nikae kimya forever, nilimuita sehemu iliyotulia kwa mazungumzo nikamwambia nimekusamehe sitatembea na wewe na pia sitamwambia mumeo
Kwa sharti la kuacha tabia hiyo
Akakiri na kujutia tabia hiyo na kuahidi kuiacha kabisa
Kwa kweli alifurahi sana akanishukuru kupita Maelezo
Ila bahati mbaya laki tano yake niliila
Pia nimemsisitiza sana mumewe kwa simu afanye awezavyo atafute kazi nyingine hapa dar kama uhamisho ukishindikana

Kuhusu mchepuko wangu
Mlinishauri mm pia niache uzinzi niachane na huo mchepuko wangu Wa arusha ambao nilikua nao siku tumegongana na shemeji guest

Ushauri huu umenishinda kwa kweli maana mchepuko huu ni asset kubwa kwangu
Mke nilie nae ni mama Wa nyumbani ambae nililetewa na wazazi kutoka nyumbani nikawatii wazazi na kumuoa

Mchepuko wangu nilisoma nao chuo na tulikua na ndoto za kuoana bahati mbaya destiny haikutaka hivyo ndipo yakatokea hayo ya baba kuniletea mke
Huu mchepuko unanipenda sana ukasema hata kama mm naoa tuendeleze tu uhusiano wetu, basi nikawa nimeoa,
Bahati mbaya mchepuko ulienda nje ya nchi kwa masters program na ulikaa huko karibu miaka 5 na ndipo ukarudi hapa na kupata kazi arusha

Kiuchumi
Kutokana na gharama za maisha kupanda na familia yangu kupanuka mchepuko huu umekua Msaada mkubwa kwangu
Hii ni kutokana na ukweli kuwa nimekopa mikopo mingi kazini na hivyo napokea mshahara kidogo sana uliobaki
Mchanganuo Wa makato au marejesho upo hivi:-

(1)salaried workers loan=250,000
(2)Credit union loan=
250,000
(3)departmental loan=250
(4)blue financial services=250
Total=1,000,000/=

Salary. Loans. Difference 1,500,000-1,000,000=500,000

Baada ya makato ya mikopo yote inabaki laki tano tu
Kiasi hiki ni kidogo mno kwa mahitaji ya familia yangu ambayo ni extended, wife ni Msukuma hivyo ana ndugu nane ninaokaa nao kwangu maana Wali ukipikwa ni kilo 3 kila siku
Kila ninapofanya jaribio la kuwaondoa ndugu hao wife hununa wiki mbili na hulala na suruali tatu za jeans, na skin tight na kufuli hivyo mm husalim amri na kuacha kuwaondoa
Hivyo Nina majukum mazito sana na mikopo yote imeshafanya maendeleo ikiwemo ujenzi

Kwa hali hiyo mchepuko wangu unakua na maana kubwa sana kusaidia gurudum pale ninapokwama
Mathalan January sikua na ada za watoto hata senti tano na kazini sikopesheki tena
Mchepuko wangu ulinisaidia kulipa ada ya watoto wote watatu ya shs 4,200,000
Kwa ahadi ya kuzirudisha ingawa sijarudisha hadi sasa

Mchepuko huu umeshiriki shughuli nyingi za kifamilia I.e harusi na misiba kwa hali na Mali kwa kuchangia pesa nyingi tu ingawa wife huwa anakutana nao katika hizo shughuli bila kuufahamu

Nikimpigia simu kuna jambo lolote lile yy huondoka fasta arusha na kufika haraka
Dar
Hivyo wakuu Nina upenda sana mchepuko huu ambao umenizalia mtoto mmoja kwa sasa na hauna mpango Wa kuolewa na mtu mwingine

Mlinishauri niuache mchepuko lakin nadhan hiyo ni suicide mission kwangu
Ndo maana huwa naupenda uislam kwenye hili la wake wengi basi tu kwa kuwa mm ni mkristo sina jinsi ngoja niende wote wawili ilimradi tu wife asifaham

Huenda kama kuna mtu ana idea nifanyeje au yeyote mwenye mchepuko Wa namna hii anidaidie alifanyaje akaachana nao

huyu huyu mke wako ambae mwezi wa nne alikua na watoto wawili huu mwezi wa tano tayari ana watoto watatu tena wamelipiwa ada mwezi January.
 
Kaka maisha yenyewe haya mi nakishauri ucuache mchepuko wako maana unachepuka kwa faida ya familia ya mkeo ungechepuka na mchepuko wa kukupa hasara ningekushauri uachane nao lkn kaka hapo usiache maanaa ni zaidi ya kazi yako huyo
 
Michepuko haitakwisha milele kutokana na mianya tunayoiachia. Yupo ndugu yangu ni mfanyabiashara mkubwa na husafiri mara kwa mara. akamfunguli mke wake biashara ya duka na genge. Mwanamke akaingia ulokole. Ikifika saa 7 anamwachia mtoto biashara anakwenda kanisani na ni mbali. Mtoto hana mudas wa kusoma wala haangalii maendeleo ya watoto hadi saa 3 anarudi. siku mume akirudi yeye ndo anakwenda kukesha huko kabisa anajua. usalama upo. Loh Mume Akachepuka mazima na kuzaa ndume 2. Hapo je?
 
Montanakamumbayi ,Boris bondo,bebe ramazani,Andrew kimbuta,dikembe mutombo ,adamu bombole hii yako ngumu kumeza.
 
Umejieleza mno lakini uanaume sio huo wa kumdhalilisha mwenzako. Mbona sisi yumewasomesha wake zetu wapate kazi nzuri na mishahara mizuri, we unaona sifa kuwa na golikipa. Msomeshe au mfungulie biashara maana unazunguka na mchepuko lakini ukilaz2a hospitali sio yeye atakuwa anakuangalia. Wenzako humu wana michepuko, wanakula mahg wao na wametulia wewe unaona sifa
 
Wasukuma ndo walivyo...Ukimuoa...jiandae....yeye atawaleta ndugu zake hata wale wa mbali sana...hii tabia siyo nzuri sana...kuna wanaume huwa wanakosa la kufanya na kuishia kubeba majukumu yote ya kuwatunza, kuwasomesha, na kuwatafutia kazi....wengine wakifeli unaombwa mtaji...wengine hasa mashemeji wanaweza kuchukua vitu vyako ndani na kwenda kuuza au kama una gari ndo itakuwa kila siku kuliendesha hata kwa fujo na likiharibika wewe ndiye unayetengeneza...."wanaume tumeumbwaaaaaa "mateso"...."matesoo" "Kuhangaika"[/QUOTE
Tatizo wanaume tunaonyesha udhaifu toka siku ya kwanza.
Lazima uonyeshe msimamo ya kwamba huitaki hiyo hali hata mkeo akikasirika.
Unawaita ndugu zake na unawaambia ukweli waondoke mke akasirike asikasirike atajua mwenyewe.Yaani analeta ndugu nane?!Pumbavu kabisa hivyo ndo vitu nisivyo vitaka kabisa natimua wote kama hawaelewi nini maana ya familia ndo watafahamu.
 
Good postion=Good perfomance..! Cheza na position zote mbili you'll perfom great..! Mchepuko sio deal but kuna exception kama hiyo yako...!
 
Wasukuma ndo walivyo...Ukimuoa...jiandae....yeye atawaleta ndugu zake hata wale wa mbali sana...hii tabia siyo nzuri sana...kuna wanaume huwa wanakosa la kufanya na kuishia kubeba majukumu yote ya kuwatunza, kuwasomesha, na kuwatafutia kazi....wengine wakifeli unaombwa mtaji...wengine hasa mashemeji wanaweza kuchukua vitu vyako ndani na kwenda kuuza au kama una gari ndo itakuwa kila siku kuliendesha hata kwa fujo na likiharibika wewe ndiye unayetengeneza...."wanaume tumeumbwaaaaaa "mateso"...."matesoo" "Kuhangaika"
MIMI NILLIDHANI HILI NI WANYAKYUSA TU KUMBE HATA WASUKUMA ILA WANYAKYUSA WANAKULETEA HATA MCHEPUKO WA KWAO TUKUYU UKISIKIA UJU KAKA GWANGU NA HUKUMWONA SIKU UNAPELEKA MALI BASI UJUE UMEINGILIWA,Ila pole kaka mkeo naye ana mchepuke unafanya kazi pale magogoni jiandae kumfuata babu seya
 
usimuamini kila aandikacho-hii itakuwa janja ya kutaka ahalalishiwe kuendelea na mchepuko...

Kama anajua ni kibovu na kichafu na anatafuta jinsi ya kukihalalisha unafikiri kweli anahitaji msaada au ushauri wowote?! Aachwe tu afanye yake, maana hakuna namna nyingine.
 
Wakuu habari,
Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka
mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share
na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na
ujana.
Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana
wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala
hoi katika moja ya wilaya za mkoa wa Tabora yeye
alikua bosi huko kwa mda mrefu.Mwanae pia
alimwingiza benki hiyo hiyo ila alipelekwa wilaya
nyingine mikoa ya kaskazini huyu binti nilianza nae
uhusiano tukiwa form six,
Tukaenda chuo kimoja na baada ya chuo tukapata kazi
shirika moja ambayo tulitafutiwa na mama yake ila
wilaya tofauti ahadi yetu ilikua ni kuoana.Time frame ni
miaka mitatu ya kazi tuwe tumefunga ndoa nilipofika
kwenye kituo changu cha kazi wilayani nikakutana na
staff wenzangu vijana waliokua wakiishi kama miungu
watu pale wilayani walichukua kila msichana
wanaemtaka kwa mgongo wa benki maana iliheshimika
sana.
Nami nikajiingiza kwenye life hilo katika harakati hizo
nikapata binti chotara Wa kiarabu maana wilaya ile ina
idadi kubwa sana ya waarabu kutokana na sababu za
kihistoria. Akawa anahamisha nguo moja baada ya
nyingine kuleta kwangu hadi akahamia kabisa tukawa
tunapika na kupakua hadi akabeba mimba yangu
Wakati wote huo mchumba wangu wa siku zote hakua
anajua kama mm naishi na Mwarabu kwangu
Kila akitaka kunitembelea mm namuwahi nasafiri
naenda mimi.
Mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, mwaka Wa tatu
tangu nianze kazi na mtoto akiwa na miaka miwili
kasoro. Mchumba wangu a NMB akanibana tufunge
ndoa nami nikawa sina ujanja nikakubali familia zetu
zikaanza maandalizi Dar es salaam ikiwa ni vikao na
maandalizi mengine. Nilikua nawaza nitatumia mbinu
gani kumuacha Muarabu maana hata yeye alishanibana
kuhusu kufunga ndoa ya kiislam na nilimuahidi
nitabadili dini kutokana na kuchanganyikiwa na penzi
lake maana alikua na vitu vizito mno kwa bed.
Na mapishi hadi sasa sijaona mwingine anaeyafikia wiki
mbili kabla ya harusi yangu dar wambea kazini kwangu
wakamwambia Mwarabu kuwa hivi karibuni mshkaji
anafunga ndoa Mwarabu akaniuliza kuhusu taarifa zile
ikabidi nikubali kuwa ni kweli. Kesho yake mama yake
akaniita akaniambia kama nitafunga ndoa na mwanamke
mwingine basi yatakayonipata nisilaumu Kwamba
nimemtumia mtoto wao na kumzalisha kisha nimwache
hawatakubali
Kutokana na tension ya sakata hilo na mawazo na ili
kukwepa bibi harusi mtarajiwa hasiyafahamu ya
Mwarabu nikaamua ku resign on 24 hrs notes.
Nikajisemea moyoni liwalo na liwe kazi nitatafuta
nyingine
Nikapaki nguo zangu tayari kwa safari kesho yake.Siku
ya safari asubuhi nikapaki vitu kwenye gari yangu
ndogo nikamwambia Mwarabu mi naondoka alilia sana
na kuniangukia miguuni nikamwambia nakuachia
thamani zote za ndani nikaondoka kurudi Dar.
Kiukweli pamoja na mazuri yote ya Mwarabu na uzuri
aliokua nao alikosa kigezo kimoja muhimu niliitaji kuoa
mwanamke mfanya kazi, msomi mwenye future na sio
mama wa nyumbani mwenye kusubiri nimletee kila kitu
mfano hadi hapo Mwarabu alikua ameshaniingiza
gharama kubwa sana kutokana na matumizi makubwa
aliyokua nayo na familia take.
Ilifika pahala nakosa hata akiba kila pesa nikipata naleta
nyumbani yalikua yamenifika shingoni kwa kweli
Siku ya harusi ndoa ikafungwa ikafuatiwa na sherehe
kubwa. Usiku hotelini uume ukakataa kusimama mke
wangu alinifanyia romance zote lakini wapi tukalala
hivyo hivyo
Hali iliendelea hivyo kwa miezi mitatu.Nikamuona
mtaalam mmoja wa kienyeji akapiga ramli akaniambia
kuna Mwarabu ulikua unaishi nae ndoa kafanya
hivi,Akanipa dawa bado haikusaidia kitu
Nilifikisha waganga 12 bila mafanikio.Mke wangu
akaniuliza hii yote maana yake nini ikabidi nimweleze
ukweli wote Wa Mwarabu
Alilia sana akasema kumbe kipindi chote hiki sikua
mwaminifu na nimezaa nje yeye basi ndoa imekwisha
Hakujali muda wote tuliokaa kwenye uhusiano
akatengana nami.Wakati huo tayari alishahamishwa
tunaishj Dar akaamua kurudi kwao.Tulisuluhishwa bila
mafanikio
Nikampigia Mwarabu akawa hapokei simu na akabadili
line kabisa. Mwaka ukakatika hali ni ile ile
Mke wangu akanionea huruma akaja akaniambia
ameelekezwa mtaalam mmoja Moro vijijini twende
tumuone maana kujaribu sio vibaya.Tukasafiri hadi
huko tukakuta ni mtu fukara na nyumba mbovu
inayokaribia kuanguka hadi nikawa na hofu kama
tutasaidiwa
Tukalala hapo asubuhi saa kumi alfajiri akanipeleka
milimani tukiwa huko kwenye kichaka akawa
anazungumza Maneno ya kiarabu akiwa na kitabu
karibu masaa mawili.TukarudiAkanipa dawa za kunywa
nikaharisha na kutapika irizi mbili nyeusi nikawa hoi
sina nguvu kabisa wife aliogopa akamwambia jamaa
wañipeleke hospital nisije nikafa pale jamaa akakataa
Tukarudi bila mafanikio wife akañipeleka kanisa moja
hivi kwa miezi mitatu bado haikusaidia.Tukaacha
kwenda kokote kule nikaendelea tu mambo mengine ya
maisha.Hadi siku moja wife akaanza kunichezea mwili
mzima maana hakukata tamaa alikua akinijaribisha kila
mara.
Kitu kikainuka kwa hasira hakuamini akadandia
haraka,tulilia sana kama watoto tatizo likawa
limeishaHata sasa sielewi kilichoniponya maana
tulijaribu kila kitu.Sijawahi kumtafuta tena Mwarabu kwa
hofu
Nilisamehe na mtoto maxima. Sasa nina watoto wawili
namheshimu sana huyu mwanamke ameshinda mitihani
yote.
Ni mkasa wa kweli ulionipata mimi mwenyewe nime
share na nyinyi kama fundisho
 
Back
Top Bottom