Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

Kaka mie ningependa kukuambia kwamba naona muda wa kuwavumilia hawo ndugu umekwisha, watimue waende kisha mmkeo nae akimaind naye awafuate uko uko kisha vuta mtoto wa Arusha kaa naye
 
Kwa hiyo kakudanganya hana mchepuko huko Arusha?
hebu kamtembelee ghafla ukae wiki uone km hatakufukuza
Mkuki kwa Nguruwe muachie na mwenzako mchepuko wake umsulubu huwezi jua kakosa nini kwa mumewe rafikiyo
 
hahahhahahahahhahahahah!...dah!nimecheka sana...ngoja niendelee kutafakari kisha ntarudi
 
Back
Top Bottom