Mrejesho tukio la kulipa kisasi

Mrejesho tukio la kulipa kisasi

Kashikwaa na polisi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jamani mlitaka mke wake aendelee kupigwa mkuyengee tuu!???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mke anaumaa bhana aisee...Sema jamaa umezinguaa kwani mkeo tu ndo Ana makuu...ungemuachaa mzeeee zipo nyingi Sana tamuu...
 
Demu wa mtu anauma sembuse mke, umetoa posa, umegharamia harusi bdae unapgiwa kijinga..

Mimi sijaoa ila kwa mwenendo huu wa kuchepuka kwa wapendanao nitasubiri sana kuoa.

Ila jamaa dogo umemkomesha sana akae akijua kuwa mke anauma kwa ilo..

Na nyie mnaowapalamia wake za watu dawa yenu mtafanyiwa na amatolo kama alivyomfanyia huyo kijana
 
Ok mkuu nimeshakujua wewe ni nani na huyo dogo nimeshamfahamu.Sasa basi kwanzia sasa utapata tabu sana.

Nasema utapata tabu sana,Lazima ukanyee debe,hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu.

Nasema hivi nalala na wewe mberee.
Acha kutisha watu wewe, wewe ungegongewa mkeo ungefurahi au unataka kujifanya unajua kila kitu?
 
Huyu jamaa anaitwa
JOSEPH WEREMA ANAPATIKANA MWANZA TANZANIA
0766648847 namba zake za simu hizo na polisi wa mwanza wanalifanyia kazi kwa sasa mm niko dar
Na wewe uache umbea wa kike umetumwa, au kumfahamu sana, ni ujinga kujiingiza ktk vitu visivyokuhusu.. Jiulize wewe ungegongewa mkeo ungejiskiaje?
 
Kumshughulikia bila kumpa sababu, ni sawa na hujafanya kitu

Kwa kuwa huna guts za kumweleza au unaogopa jela, muwekee taarabu tena apate ujumbe
Seriously! Hatajua kosa lake na akipona anarudi kumkamua wife wake sawasawa mpk kwenye marinda maana kapata kozi mpya
 
Wanaume wanapotea, mwanaume halisi haoni shida kusema kilichoko rohoni mwake. Ungeongea nae kiume kuliko unyama uliomfanyia na siajabu mke wako ndiye aliyeomba msaada kwa kibamia chako. Kama umeshtuka kuona matango ya wanaume wenzako.
daaah mpaka wewe leo umetoa povu ... kweli imekuuma
 
Daaaahh huyo manzi wako kweli kimeo Aisee ..hapo mke hauna. yaani ki ben10 chake kimeliwa 0713 then bado anakwenda kukaona ""!!!
 
Ok mkuu nimeshakujua wewe ni nani na huyo dogo nimeshamfahamu.Sasa basi kwanzia sasa utapata tabu sana.

Nasema utapata tabu sana,Lazima ukanyee debe,hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu.

Nasema hivi nalala na wewe mberee.
pambana na hali yako " Au na wewe umeshawahi kuliwa 0713, nini ? so wataka kufidia maumivu yako kwa mtoa mada
 
pambana na hali yako " Au na wewe umeshawahi kuliwa 0713, nini ? so wataka kufidia maumivu yako kwa mtoa mada
Usijali kiongozi,itabidi na wewe tukuunganishe kwenye hii kesi.
 
I’m a woman and a mother, I put my self on the shoes of the young man’s mother.
daaahh nimekuelewa " lakini sasa muwaambie hawa watoto wenu pia " kuwa katika vitu ambavyo vina hatarisha sana maisha ya binaadamu duniani ni mali ya mtu na mkewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom