kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,838
- 2,487
haiwezekani mtu akiugua ghalama zote za maisha yake juu yako halafu mtu akukazie. anatakiwa ajue ni wewe pasipo ushahidi
Kamfanyia ushetani mubaya sana aisee, naomba Mungu siku na yeye yamkute hivo hivo,Wanaume wanapotea, mwanaume halisi haoni shida kusema kilichoko rohoni mwake. Ungeongea nae kiume kuliko unyama uliomfanyia na siajabu mke wako ndiye aliyeomba msaada kwa kibamia chako. Kama umeshtuka kuona matango ya wanaume wenzako.
Si ajabu mkewe akijua amuache aende kwa mchepuko mazimaInawezekana mapungufu yake ndiyo yaliyomfanya mkewe kuchepuka na ikiwa hali ni hiyo basi itabidi aadhibu wengi lakin lakini mwisho wa siku itakuwa 'Majuto Mjukuu'
Mleta mada kaniudhi ni mtu muovu sana, badala amkanye mke wake kaenda kumfanyia huo ushenzi mwanaume mwenzakoWewe ni mpumbavu hasa,una roho ya kishetani na hufai hata kuishi.
Kosa lako unatesa watoto wa watu,ulioa mwanamke Malaya, sasa yamekukuta ulivyo mjinga eti unalipa kisasi,labda nikuulize.
1.Utateka wanaume wangapi wanaokubebea mkeo?
2.Unadhani ulichomtenda huyo kijana ndo mkeo ataacha kugawa papuchi?
3.kwa hiyo umeridhika kabisa kuishi na Malaya kwa Sababu tu unajua kuteka watu?
Ni wapumbavu wenzako watakupongeza kwa ujinga ulionao,dawa ni kuachana na mwanamke na siyo kudhuru watu, nakueleza wazi unakoelekea utaozea jela.
Dah kuna jamaa nilisoma naye alikua anajiita 'Arams' nikafikiri ndiyo tumeshakutana.Hapana mkuu mm ni wa dar ila nimesomea mikoani
jamaa halafu linaona sifaMleta mada kaniudhi ni mtu muovu sana, badala amkanye mke wake kaenda kumfanyia huo ushenzi mwanaume mwenzako
Ndo maana mkewe anachepuka anatumia nguvu kuliko akiliMjinga sana huyu jamaa halafu linaona sifa
Wanaume wanapotea, mwanaume halisi haoni shida kusema kilichoko rohoni mwake. Ungeongea nae kiume kuliko unyama uliomfanyia na siajabu mke wako ndiye aliyeomba msaada kwa kibamia chako. Kama umeshtuka kuona matango ya wanaume wenzako.
Ebu mwaga detail zake tumjue zaidiOk mkuu nimeshakujua wewe ni nani na huyo dogo nimeshamfahamu.Sasa basi kwanzia sasa utapata tabu sana.
Nasema utapata tabu sana,Lazima ukanyee debe,hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu.
Nasema hivi nalala na wewe mberee.
Mwenzako akiwa na kibamia haina maana wenye muhogo wanatakiwa wamlie mkewe,hata kama umejaaliwa muhogo huwa hairuhusiwi kumpa mke wa mtu autumie.There you are! Hili jamaa puuzi kweli,limeponzwa na kibamia then linadhuru watu.
Jf umeanza ijua leo?huyo anatema biti tu.jf chaka la wajanjaEbu mwaga detail zake tumjue zaidi,mshenzi huyu,,
Nayeye ilikuwa ni alias kama mm au ni real name?Dah kuna jamaa nilisoma naye alikua anajiita 'Arams' nikafikiri ndiyo tumeshakutana.
unaamini kuwa kuna chochote kimefanyika?Wanaume wanapotea, mwanaume halisi haoni shida kusema kilichoko rohoni mwake. Ungeongea nae kiume kuliko unyama uliomfanyia na siajabu mke wako ndiye aliyeomba msaada kwa kibamia chako. Kama umeshtuka kuona matango ya wanaume wenzako.