Mrejesho tukio la kulipa kisasi

Mrejesho tukio la kulipa kisasi

Kwa hilo sasa na wewe unajiona mwanaume sasa!Asiejua kukabiliana na hali! Yaani wewe wa kukaa unadukua dukua simu yake,akienda chooni unafukuzia ukasikilizie anaongea nini. Wengine wanashinda wanawaza wafanye nini wafanikiwe,wewe unawaza ufanyeje umfumanie mkeo. Af na vijisenti ulivyotafuta badara ya kuangalia nini vikusaidie,tena unaenda kuwahonga wanaume wenzako. Basi tu
 
Huyu jamaa akipona kama ni mpangaji atahamia eneo watu hawamjui, na kama ana nyumba yake mtaani atakuwa kama Osama, yupo lakini hayupo, inawezekana wife akataka kumpooza machungu lakinii akikumbuka mikuyenge ataomba poo,
eti kuna mtu kaandika dogo akirudi atanyapia tena !!! Hawezi.

Kuna jamaa yangu alionywa na mwenye mke aache tabia hiyo hakusikia, aliwekewa mtego alipigwa kiboga akawa hoi, halafu wakamvua nguo zake wakamvisha shanga za yule demu, wakamvisha chupi na gauni. Jamaa hawakutumia condom, kwa hiyo ilikuwa shidaaa. Wakamwekea na pampasi.


Akapelekwa hospitali, alipopona hakwenda polisi aliondokea hospitali huko huko. Hajarudi mpaka leo.

Kuna mwingine aliiba ng'ombe, aliponaswa alipigwa kiboga mchana mchana, wale wafugaji wakimaliza walikuwa wanapasha kwa kupiga nyeto fasta ili mkuyenge usimame wachomeke tena. Amehama pia nyumba yake imekuwa pagale pale kijijini.

Hizi habari msome tu kwenye JF au kwenye gazeti, mtu aliyeshughulikiwa kwa mtindo huo utamwonea huruma, anajishutukia kwanza kama unajua ishu au vipi. Mi nilikuwa napiga store tofauti na kuongea nao yaani kama mambo shwari tu. Walijitakia wenyewe,huo ndio mshahara wa dhambi
 
Mzee mtaafu alisema " ukitaka kula lazima uliwe" sasa kaliwa baada ya kula. Mpe mkeo kilichopungua utakula wanyonge ila ipo siku mkeo ataliwa ukileta nyenyenyee uliwe na wewe.
Suluhisheni hiyo tabia yake asipoacha chagua moja kuishi na mchepukaji au vinginevyo.
 
Huu uzi bora ufutwe maana unapiga promo ushoga.
@Mods
 
Pumbavu kabsa umeona umefanya cha maana? Hakuna kosa linalotatuliwa kwa kuongeza kosa lingine! Bac utatatua marinda ya wengi na mwisho jera hii juu yako!
 
Wakati natoka home wife alinambia kuwa kuna mtu ataenda kumuona hospitalini badae najua lazima akamuone dogo. Ila nafisi yangu imesuzika sana,
Daaah....

Kubali tu kwamba huyu mwanamke amekukalia kichwani. Ndio maana anapata guts za kuchepuka na hukohoi badala yake unaomba wanaume wenzio wenye matango wakamuadhibu msaidizi wako.

Bado una safari ndefu jamaa
 
Huyu jamaa anaitwa
JOSEPH WEREMA ANAPATIKANA MWANZA TANZANIA
0766648847 namba zake za simu hizo na polisi wa mwanza wanalifanyia kazi kwa sasa mm niko dar
Naona unajifanya detective sasa wakati jamaa kaleta malalamiko yake kugongewa mkewe mbona ukusema kitu sasa hivi ndio unaleta shobo kujifanya msimamia haki

Kwanza wewe mwenyewe umevunja sheria ya Jf kuanika detail za member pia hatuwezi kuamini kama ni kweli labda uwe wewe ndio uliyetatuliwa malinda maana Inawezekana unabifu na mtu unaamua kutake chance ya kumchafua

Subiri siku upigiwe mke ndio utajua na kilanga chako
 
Daah mliopo kwa ndoa mna roho ngumu sana.. Mshkaji kaliwa rinda lake kisa Malaya moja!.. ajabu na jamaa lake linashindwa kumwambia!...
 
Tumaini langu ni kwamba anayetangaza kisasi Hawezi kufanya!
 
Nashangaa sana hamna kitu kinachouma kama mke binafsi nina girls Friend tu huwa ananiuma hatari je mke itakuwaje? Na mke unatumia nguvu nyingi kumhudumia alafu from no where mtu anakuja kujisevia na kama huyu jamaa alitoa taarifa mapema mbona kwann watu au usalama wasimsaidie au kumkamata huyo dogo aache mke wa mtu tukio linakuja nao wanakuja ningewasupport usalama pale kwenye uzi wa kwanza wa jamaa ila kwa hapa hapana siwezi support kusema kwamba nitawasupport,

Usalama wameona nyufa wameshindwa kuziba hizo nyufa kwenye ukuta,Nyufa imekuwa sugu ukuta umedondoka ndo wanaanza kuziba nyufa wakati ukuta ushaporomoka chini heeeeeee. Duuuuu! ! ! !
 
Huyu jamaa anaitwa
JOSEPH WEREMA ANAPATIKANA MWANZA TANZANIA
0766648847 namba zake za simu hizo na polisi wa mwanza wanalifanyia kazi kwa sasa mm niko dar
Kama we ni detective bc Tanzania hatuna madetective kabisaaaa.

Unaanikaje details za mtuhumiwa mtandaoni? Je hapa wakimpigia na kumsanua asepe utampata wapi? Na mbaya zaidi umeweka details kwenye Uzi wake so kama ni kweli means ataona na atajiongeza..


NB: Papuchi ya mke wa mtu ni hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom