Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

Wadau natumai mko poa.

Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati nzuri au mbaya tukakorofishana akaamua kuachana na mm km uzi wangu wa awali ulivyokuwa unasimulia.

Kila njia nilifanya nirudiane nae zikagonga mwamba. Hatimaye nikakata tamaa. nikinukuu mawazo ya mdau mmoja alisema "ni heri kuanzisha mahusiano mapya itakuwa na faida kuliko kulazimisha huo uhusiano" mwingine alisema "uamuzi wa busara ni kuamua kumuacha mtu unaempenda japokuwa moyoni utaumia" nilitembea na mawazo ya hawa wadau hatimaye nikafanikiwa kumsahau yule binti japo mara moja moja sana namkumbuka.

Tangu niachane nae nishapita na mahusiano na watu watatu lkn bado sijapata nitakako. Ajabu yule binti tulie achana ameanza kunitafuta akiomba msamaha turudiane alikosea kusema tuachane malalamiko mengi sana. Ukweli kwa sasa moyo wangu ni mzito sana kurudi kwake japo najua nampenda ila imani ishatoweka kwa huyu mtu. I'm confused wadau km ni wewe utaendelea kusaka mpya au urudishe majeshi.

Naomba mawazo kidogo
amua chochote mkuu maisha hayana formula, muhimu tu ni afya yako
 
Nimewahi kuwa na situation kama yako kwa mwanamke ambae nilimpenda sana sijawahi kupenda vile maisha yote. Akaja kunicheat na mshikaji fulani hivi ambae baadae nae alijua, so alinitafuta tukakutana kabisa na ushahidi nikapata maana waliongea kwa simu mbele yangu na full kusema hawezi msaliti jamaa.
Niliumia vibaya mno tukaachana alikuja kurudi baada ya kama miezi 7 hivi na kuomba msamaha kwingi, asikwambia mtu nilikua nampenda haswa na alikua anajua so akanikumbatia asee moyo ulikua unakimbia usein Bolt akasome, akili na moyo vinapingana LAKINI nikasema no way sirudi nyuma nampenda ndio lakini acha niendelee kuumia.
Nikachomoa yeye hakuamini na mimi sikuamini hahaha ujasiri niliupata wapi akasepa,nikaawaambia washkaji zangu nimemkataa pia hawakuamini nimewazaje,mpaka leo huwa wanasema nina moyo mgumu sana.
KWAHIYO MKUU USIRUDI NYUMA USIKUBALI KUWA OPTION.
 
Hapa panahitaji hekima sanaa kufanya maamuzi,mm nlikuwa na wangu nlikuwa nampenda sanaaa,ila cjui alishajua kuwa nampenda akaamuwa kutikisa kiberiti,jmos moja iv tulivu nmejilaza iv nikamtumia vocha iv ili tuchat kidogo ku buy time....hatujafikia hata msg ya tatu mra nikaona mgs kutoka kwake hadi nikahis labda kakosea,msg ilisema," D sion kama nina amani kama zamani cz nlichokifanya najutia,siwez kuwa gf wako,u deserve better than me"ndo kumuuliza umefanyaje A?alinambia "nmecheat na nakuwa na guilty sanaa kuendelea nawe" ....ckuumia sanaa kwq muda huo kwan nlikuwa kwny panic tu,ila nkaamua kupiga tu kimya,mara wik ikakata,nmepost picha flan iv na rafik zangu tunajirusha kidogo,.....akafanya kureply"D umenenepa"nlifanya kama cjaiona ile msg,kama cku moja iv kupita ili nifanye kutengana nae moja kwa moja,nliamua kumtongoza rafik yake,alichokuwa anafanya ni kumtete rafik yake kuwa et hakucheat ila alikuwa tu ananipima kama nampenda,...plus yy na huyu dem wote nikawatukana na kuwapiga block kila mahali.......ila kwa ss kuna ka moyo ka kuendelea kumkumbuka cjui kanatokea wapi?
 
Mapenzi yalivyo na uboya, sisi tunatumia muda wetu na Mb zetu kutype na kumpa ushauri, ila lidemu lake likimtumia "I miss you mbili na Am sorry moja" utashangaa jamaa linamrudia
Hahahah umenifanya nicheke kwa sauti sana ndg yangu. Hapana sio kirahisi kihivyo nakili hapo awali nilikuwa nampenda sana ila kwa sasa si km zaman nipo kawaida sana pressure sina tena
 
Uandishi wa kuzingatia aya na vituo unavutia kusoma na kukutambulisha vizuri kwa hadhira, hata kama ni mwanasayansi, kuandika aya moja yenye hoja tofauti tofauti tena bila kujua sentensi inaanzia wapi na inaishia wapi kunachosha.
Lakin umemwelewa sio?
 
Nimewahi kuwa na situation kama yako kwa mwanamke ambae nilimpenda sana sijawahi kupenda vile maisha yote. Akaja kunicheat na mshikaji fulani hivi ambae baadae nae alijua, so alinitafuta tukakutana kabisa na ushahidi nikapata maana waliongea kwa simu mbele yangu na full kusema hawezi msaliti jamaa.
Niliumia vibaya mno tukaachana alikuja kurudi baada ya kama miezi 7 hivi na kuomba msamaha kwingi, asikwambia mtu nilikua nampenda haswa na alikua anajua so akanikumbatia asee moyo ulikua unakimbia usein Bolt akasome, akili na moyo vinapingana LAKINI nikasema no way sirudi nyuma nampenda ndio lakini acha niendelee kuumia.
Nikachomoa yeye hakuamini na mimi sikuamini hahaha ujasiri niliupata wapi akasepa,nikaawaambia washkaji zangu nimemkataa pia hawakuamini nimewazaje,mpaka leo huwa wanasema nina moyo mgumu sana.
KWAHIYO MKUU USIRUDI NYUMA USIKUBALI KUWA OPTION.
Kwakweli ujasiri unahitajika hakuna kurudi nyuma pamoja sana kaka!
 
Hapa panahitaji hekima sanaa kufanya maamuzi,mm nlikuwa na wangu nlikuwa nampenda sanaaa,ila cjui alishajua kuwa nampenda akaamuwa kutikisa kiberiti,jmos moja iv tulivu nmejilaza iv nikamtumia vocha iv ili tuchat kidogo ku buy time....hatujafikia hata msg ya tatu mra nikaona mgs kutoka kwake hadi nikahis labda kakosea,msg ilisema," D sion kama nina amani kama zamani cz nlichokifanya najutia,siwez kuwa gf wako,u deserve better than me"ndo kumuuliza umefanyaje A?alinambia "nmecheat na nakuwa na guilty sanaa kuendelea nawe" ....ckuumia sanaa kwq muda huo kwan nlikuwa kwny panic tu,ila nkaamua kupiga tu kimya,mara wik ikakata,nmepost picha flan iv na rafik zangu tunajirusha kidogo,.....akafanya kureply"D umenenepa"nlifanya kama cjaiona ile msg,kama cku moja iv kupita ili nifanye kutengana nae moja kwa moja,nliamua kumtongoza rafik yake,alichokuwa anafanya ni kumtete rafik yake kuwa et hakucheat ila alikuwa tu ananipima kama nampenda,...plus yy na huyu dem wote nikawatukana na kuwapiga block kila mahali.......ila kwa ss kuna ka moyo ka kuendelea kumkumbuka cjui kanatokea wapi?
Ngumu kumeza hii kwakwl
 
Point sana kaka. Pamoja sana

Mwanamke kapata jamaa alokuwa anampenda kuliko wewe kamla kimasihara probably kampa mpaka mimba kaikataa mwanamke kaitoa ndio anataka kurudi kwako umsamehe yan wewe apo ni chaguo la pili chaguo lake la kwanza limefeli, unaenda kujimaliza aisee
 
Hahahah we jamaa usikute huyo ni yule demu ambaye ulimpangishia nyumba na kumlipia kodi still akakuletea mashauzi! Kama ndio wewe ulileta ile mada fata ushauri ninaokupa!

1.Achana na hizo akili za kurudiana na mshenzi ambaye alikutumia

2.Mwanamke akikutosa kwa style hio jua alipata ambaye kwake ni bora zaidi kuliko wewe!

3.Hakuwahi kukupenda ila alikuwa anakupumzikia tu!

NB: Usikubali kurudiana na mwanamke huyo sababu alikokimbilia ameachika huko sasa wewe ndio anakuona mnyonge wake! Kuimba kupokezana zamu yake na yeye, kitu ambacho unaweza kumfanyia ni kumfanya kiwanja cha mazoezi unajipigia tu wakati unatafuta mke wa kuoa! Huyo usioeeeeeeeee nasema tena usioooooeeee malaaaayaaaa!!!

Anataka kuoa demu wa masela
 
Aseeeeh kuna watu wanateseka na mapenzi kiasi hiki? Hivi inakuaje kuaje yaan, au mie ndo sielewi,
Nwei poleeh sana. Kuna maisha mengine nje ya mapenzi.
 
Ukweli ni kwamba msela wake either kafa , kafulia au kaachwa ndio maana anakutafuta tena.
Ukimrudia mtaishi then atakuacha tena siku atakapokaa tena imara na msela wake au mpata mpenzi mpya.
 
Back
Top Bottom