Mrejesho: Sina hata pesa ya nauli kesho

Mrejesho: Sina hata pesa ya nauli kesho

Pole sana mkuu.

Umenikumbusha nilivyokuwa kijana. Nilikuwa napata hela naitumia bila mpangilio.

Ikiisha tu, napigiwa simu na ndugu akiomba msaada wa kiasi fulani cha hela. Matokeo yake najutia sana matumizi niliyofanya.
Asante mkuu...

Ila kwa sisi tunaofanya kazi za kijungu jiko kuweka akiba bado ni kusadikika.
 
Rudi kijijini kwenu ukalime. Mjini waachie wenyewe
 
Tulikumbushana hapa mapema mwezi Jana kuwa mshahara wa Disemba unatakiwa ukufikishe January 31 mkachekelea kulipwa kabla ya Christmas. 19 days to go, kuwa mpole tu hamna namna
 
Wakuu nimekwama.

Sina hata pesa ya kuendea kzini kesho.

Nauza memory card ya simu 32gb. Ni original imekuja na simu. Bei 30,000/=

Karibuni kokote uliko Dar nitakufikishia.
Daah pole mkuu, Inatokeaga hasa kwa sisi vijana hatunaga tendency ya kuweka akiba.
The only solution you have is keeping intouch with friends. uwe unatoa sana pale unapokua nazo kwa marafiki hata siku ukiishiwa kama hivyo wala hudhaliliki. Ni kiasi cha kucheki na wadau tu wanakusogeza na mambo yanakwenda.
Pia nowdays kuna mambo ya mobile loan mfano tigo nivushe. ukijisubscribe huko wala hutodhalilika tena mdau.
Ni hayo tu.
 
Dah..... Januari imekuja ghafla sana mwaka huu[emoji13] [emoji13] [emoji4]
 
Wakuu nimekwama.

Sina hata pesa ya kuendea kzini kesho.

Nauza memory card ya simu 32gb. Ni original imekuja na simu. Bei 30,000/=

Karibuni kokote uliko Dar nitakufikishia.
Mkuu leo tarehe 13 ina maana mshahara wa mwezi mzima umeshautafuna hata nauli ya kuendea job hukubakisha? Mwenzako alitumbuliwa kwa kutotumia mshahara wake na wewe pia unahitaji kutumbuliwa kwa kumaliza mapema mshahara wako.
 
Mrejesho:

Kuna muungwana wendetta amenitumia 40000 bila hata ya kuchukua memory card. Shukrani nyingi sana zifike kwake kwa kunisaidia katika mkwamo huu.

Naahidi kurejesha haraka iwezekanavyo.

My take.....
Usife na tai shingoni yanapokushinda weka wazi waweza saidiwa.

Shukrani kwenu nyote pia.
Hongera sana kwa kuwa muwazi mkuu nimependa kujiamini kwako safi sana .....
 
Sifungamani na pande hizo zote mbili mkuu. Nina memory card nauza elfu thelathini ama tubadilishane kwa lita 15 za peteol. Karibu mkuu. Popote ulipo Dar nitakuletea.
ni PM mimi nitakuwa nakuwekea petroli kila siku usiuze memory card yako mkuu, watu wenye roho nzuri bado tupo mjini
 
Back
Top Bottom