Mrejesho: Sina hata pesa ya nauli kesho

Mrejesho: Sina hata pesa ya nauli kesho

ni PM mimi nitakuwa nakuwekea petroli kila siku usiuze memory card yako mkuu, watu wenye roho nzuri bado tupo mjini
Yeah...ni kweli kabisa...watu wenye roho nzuri bado wapo.....shida yangu imeshatatuliwa na mmoja miongoni mwa watu wenye roho nzuri. Shukrani kwa kuguswa kwako.
 
Yeah...ni kweli kabisa...watu wenye roho nzuri bado wapo.....shida yangu imeshatatuliwa na mmoja miongoni mwa watu wenye roho nzuri. Shukrani kwa kuguswa kwako.
Usijali dogo... ukikwama nishtue tu.... sitochoka kusaidia vijana kwani ninyi ni taifa la kesho.
 
Hivi ni kweli kuna watu wenye roho hizi au mnazingua?au labda kuna kitu hapa mi sikielewi
f48ed9555f938e1eb236ce9b3e70b76f.jpg
 
Hivi ni kweli kuna watu wenye roho hizi au mnazingua?au labda kuna kitu hapa mi sikielewi
Serious... nasaidia vijana wenye shida ndogo ndogo zisizozidi laki tano....ni pm wakati wowote utakapokuwa na hitaji serious...
 
Back
Top Bottom