Hata waifu wako huwa anafanya hivi hivi, wakija ndugu zako wa kiume nyumbani huwa analiwa nyapu kisirisiri...
Bahati mbaya wageni Wa kiume pia ni kaka zake
Unafikiri unaweza kukiri kuwa nduguzo wa kiume huja kwako...
Mr nyatu nyatu endelea tu hako katabia ni kazuri tu
Bahati mbaya wageni Wa kiume pia ni kaka zake
Umehakikisha kuwa wote ni kaka zake, wapo binamu, mjomba na wengine mtoto wa baba yake na mjomba wake na mama yake na bibi yake na rafiki yake na mdogo wangu--hao nao wanaingia na pengine kama unavyomfanyia mkeo nao hufanya hovyo hivyo...
Huyo shetani na pombe waendekeze hivyo hivyo siku yako haiko mbali swatan wee.
Hahaaa, dalali uko kazini hata huku???Shikamoo dalaliNipe mawasiliano ya wife wako tuanze kulishughulikia tatizo lako.