Mrejesho: Sijui atamwambia wife?

Mrejesho: Sijui atamwambia wife?

Unahitaji Maombi , Utaangamia. Chukua Hatua Mapema
 
huyo ni shetani (pepo chafu) tubu na ufanye maombi sana, shetani hatakuachilia hivi hivi
 
Pamoja na kutubu bado mnanilaani tu? Badala mnisaidie dawa ya kuacha
KAKA mpendwa, kiimani hao wageni wapo ktk himaya yako "sie tunawaita Muhsinati na watakiwa kuitwa Muhsin" sasa unapo wanyemelea na kutumia ufalme wako ktk uovu.....basi dhambi yake ni kubwa kuliko ungelisimama hadharani na kuvua nguo na kuvamia wapita njia!!!! DAWA YAKE :- Tafadhali hebu nenda Hospitali ukahudumie wagonjwa walo maututi...hapo akili itarudi!!
 
nadhani mkeo atakuwa yupo hapa jf , basi arejee tu jinsi mlivyowafukuza hao mahouse girl halafu atajua cha kufanya.
 
kwa jina la yesu, pepo wabaya waliokuvaa washindwe ktk jina la yesu. yakobo 4: 7-8 "7. Basi mtiini mungu. Mpingeni shetani, naye atawakimbia. 8. Mkaribieni mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili".

amen .......nami namshauri aje kanisani atubu,kisha aache pombe kwa kumuogopa mungu ndipo ataweza kuliondoa tatizo hilo.
 
Pole sana ndugu kwa tatizo nakushauri ukatubu mbele ya wale uliowakosea yaani Mungu , mke na hao uliozini nao hapo utakua salama kuliko kujifariji kwamba uko salama kwa sababu mke hajui .ukimuogopa Mungu ambae hukuona kila ulifanyalo basi utaacha tabia mbaya uliyonayo.Ninachokiona hapa ni kwamba tabia Hii umekuwa nayo kabla ya kuoa ulidhani labda ukishaoa itafutika nikwambie kwamba ndoa haifuti tabia ya mtu hadi aamue kutubu na kuacha.warumi 7: 25 soma itakusaidia .nakushauri elewa kwamba kama vile Yesu alivyoamua kusulubu dhambi zetu msalabani ili tupone basi ujue kwamba ili uweze kupona ni lazima ukasulubishe dhambi Hii msalabani ukubali kudhalikika kama Yesu alivyodhalilika ndipo tukapokea wokovu.
 
Pole mkuu. Hongera pia kwa kutambua kuwa hali yako hiyo ni shida, hiyo ni hatua nzuri, kifuatacho dhamiria kutoka ndani ya moyo wako kwa dhati kuacha pombe, halafu muombe Mungu akushindie, hakuna lisilowezekana. Kila la heri mkuu
 
Mnafanya kwa ufuksa wenu then unasingizia pombe. Subiri aje mama mkwe nae ukamgongee. Ufahi kuwa mume mana ata watoto wako utawalala.
 
Dah we ni noma huna hata chembe ya aibu ndani yako naic unakunywa kwa kudhamiria kufanya ivyo na hao ndugu Wa mkeo hawana aibu
 
Back
Top Bottom