Mrejesho: Nipo njia panda

huwajui wanawake. Ukiwa mchepuko atakuchuuna mpaka ngozi mpaka mfupa uonekane.

Kimbia fasta kaka.
 
Nimeskia hasira ila ndo hivyo tena. Hivi wasichana tuna matatizo gani? Kwa nn kabla hujawa na no less usivunje mahusiano ya nyuma? Kwa nn?

Jamani mahusiano nayapenda ila sijawahi muumiza mtu.kiasi hiki,? Mwaka na nusu? Tuwe na huruma sometimes.
Ubarikiwe sana.
 
Pole sana

Hili lilikuwa halina sababu ya kuja kuomba ushauri, wewe ungeomba tukufariji maana hapo una option moja tu ambayo ni kuachana naye,hiyo ya kuwa mchepuko sio option maana inazidi kuonyesha ni kiasi gani huyo mwanamke hafai.

Kuwa mwanaume piga moyo konde, usimwambie chochote kile endelea na maisha yako. Muda unaponya maumivu, with time u be will fine

NB: usiishi ukitarajia kuwa Mungu atamlipizia au kumuombea Mabaya kwenye huo uhusiano wake maana inaweza isitokee hivyo. Shukuru Mungu kakuepusha na balaa maana humo hamna mke.
 
Tafuta demu mwingine huyo ni Malaya na hana msimamo
Me najitolea nitakutafutia demu mkali.....siku akimuona atajiona loser
 

Mala zote hua hawafiki mbali hurudi na kukuta milango imefungwa,mimi nilisomesha mwanamke from diploma to degree nikiwa nae Ndani hapa jijini Mwanza,alipomaliza na kuajiliwa na serekali ndipo kivumbi kilipoanza,siwezi kuyasema yote hapa ila ilikua ni wakati mgumu hujawahi ona,na mwisho wa siku mimi nikiwa kazini nje ya jiji,niliporudi ijumaa kwa ajili ya week end nyumbani nilikuta kuna nguo zangu tu ndani ktk nyumba ya kupanga,kama mwanaume amini usiamini sikuumia nikajua huyu ni MUNGU kaniepusha na mengi,nikabeba zile begi na kuishia Hotel then nikasonga mbele na maisha,sasa ni miaka mitatu na nimeoa mwanamke mzuri kwangu kuliko alivyokua,hapa nina taklibani msg zake hazipungui hamsini akijutia maamuzi yake na anapita kwa marafiki zangu akiwasihi waniombe nimsamehe.kwa kipindi nisichokua nae nilipooa mke mwingine ktk miaka miwili sasa njia zangu zimekua za baraka hata kutoka kwenye maisha ya kupanga na kua na nyumba yangu na maendeleo mengine,wanaume wote wenye hekima hupenda wanawake watulivu na wasikivu,ndipo baraka za MUNGU huingia ndani ya nyumba,wanawake wameharibiwa na ile hali ya kujiona wamesoma na wanaweza kuendesha maisha zaidi hata ya baadhi ya wanaume,lakini mwanaume atabaki kua mwanaume,kamwe uumbaji wa MUNGU hautabadilika,nikutoe hofu kijana mtoa mada usibabaike muache aende zake na siku akirudi kamwe usimkaribishe,waweza karibisha kifo.wanawake kwa sasa ni wengi kama mchanga,anaemchezea mwanaume hajitambui tu,hua hawaoni mbele wako kama watoto.
 
Aisee mdau pole sana..shit happens..wengi wameshatoa ushauri mzuri wa nini unatakiwa kufanya...you are still young kuwa mchepuko..tena at your age inatakiwa uwe una plan ya maisha yako hii ikiwa mwanamke utakayekuja ishi naye huko mbele...usipoteze muda kufikiria kiasi cha investment ulichofanya kwake..kama ni pesa assume umeibiwa au umepoteza...time heals..ili uweze kuheal fasta kuwa busy na mambo yako ya msingi..then ili uweze kuwa huru zaidi epusha mawasiliano nae maana unaweza kwazika...ni ngumu lkn inakubidi ufanye hivyo...unaweza kuwa ulimpenda sana lkn kumbuka yeye sio mama yako...ukilitambua hilo then u can overcome it..jipe time kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine...unaweza ruka moto ukakanyaga miiba jus kwa kutokuwa careful...zaidi nakupa pole na moyo wa ujasiri katika kutekeleza haya mashauri tuliyokupa..
 
Pole sana.
Kiukweli utakuwa umeumia sana.

TAMBUA MAMBO HAYA.
1/Wasichana wengi sana(Hususani Wanachuo) hujenga uhusiano mpya kila wanapotendwa na wapenzi wao lakini hurudia tena uhusiano wao wa zamani mambo yakitulia. Na hicho ndicho kilichokukuta wewe. The earlier one always is stronger in relationship. Dada amerudi kule alikuanzia kupenda kabla ya wewe kumpata. It is very natural! Na usishangae kabisa mambo yakiharibika tena kule, dada akataka kurudi kwako tena.

2/Mshukuru sana Mungu kwa huyo msichana kukwambia wazi wazi kuwa kwa sasa ana mtu wake na hakuhitaji tena wewe. Tofauti na hapo angekuficha halafu ungeendelea kudanganywa kila siku. Lakini ukichunga vizuri unaweza ukagundua kuwa huenda kabla ya sasa, wakati dada yupo na wewe, bado alikuwa anaendelea na uhusiano na huyo jamaa kisirisiri.

3/Usijaribu kabisa kufikiria kuwa mchepuko wake. It is dangerous kabisa. Kuna alot of issue zinaweza kukupata kama utakubali hilo. Zipo issue za Magonjwa, Mimba za kubambikiwa au kutegewa, Kufumaniwa, kuaibishwa na hata kuharibu mahusiano yako mapya kwa mwingine huko mbele ya safari.

4/Kwa sasa fanya haya na utavuka vyema kabisa.
-Kata kabisa mawasiliano na huyo Dada.
-Kuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu.
-Kuwa karibu na Jamii(Ndugu, Marafiki, Majirani, Wafanyakazi wenzako nk) jaribu kushirikiana nao, kufurahi pamoja nao.
-Keep busy na kufanyakazi, mazoezi, watch movies nk.
-Tulia kabisa katika issue za mahusiano(It will take few month for that a least 3-6month) lengo ni kuiponya kwanza nafsi yako before kuchukua hatua bora za kumtafuta mwingine.

5/Kamwe usijaribu kabisa kufanya haya.
-Kuishi maisha ya Upweke.
-Kutaka kulipiza kisasi.
-Kujifariji kwa kunywa Pombe, kufanya ngono nk.
-Kukata tamaa ya Maisha.
-Kuendelea kujutia upendo uliokuwa nao kwa huyo dada. Take it as lesson rather than a mistake.
-Kutafuta mchepuko.
 
Pole sana mshukuru Mungu kwa kukuonyesha hilo pepo. Hao ndio wale wanaliwa mzigo siku moja kabla ya harusi.
 
Huyo dada ana guts za ajabu, eti uwe mchepuko?

Ina maana kila X wake anaweza kuwa yuko kwenye list ya michepuko, mtakuwa wangapi?
Evelyn Salt huku kuna mrejesho mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Mshukuru sana Mungu wako kwa sababu amekuwa muungwana hadi akakueleza. Siyo jambo rahisi kwa pande zote.

Kazi yako sasa ni moja tu. Kumsahau na kusonga mbele. Ila kwa uzoefu atakutafuta ndani ya miaka isiyozidi 10. Sijui kwa nini huwa tunasahau kuwa "mkataa pema pabaya panamwita.
 
Kakwambia ukweli, achana nae mkuu, ukimng'ang'ania utaumia tu mkuu, move on~angalizo; hawakawiagi kurudi kuja kukuangukia miguuni hao, be careful
 
Mimi ndo maana huwa nawala tigo mademu kama cna akili nzuri, then nawatema.. BILGERT
 
Last edited by a moderator:
Pole, kubaliana na matokeo haikupangwa awe wako na pengine umeepushwa na mengi.

Muombe Mungu atakupa mtu sahihi.
 
BILGERT anachosema Okoyoko nimeshakisikia sana.

Wanasema kama umempenda mwanamke halafu akakutenda kama huyu alivyofanya na bado unampenda sana kwa moyo wako wote mpaka kulala ni shida nasikia ukimla Tigo baada ya kutendwa upendo wote huisha kabisa na unarudia hali ya kawaida.

Tahadhari sijawahi jaribu na sio uende kujaribu.
 
Mahusiano yoyote ni substution reaction,huyo achana naye kabisa tafuta mwingine atakaye kufaaa,
 
Hahaha nacheka sio kwa ubaya lah! Kwasabab haya mapenzi bhana ukijidai una invest kila kitu ikiwemo akili yako yote kwa mwanamke lazma aku let down, me nimeshajifanyia operation na kuondoa nusu ya portion ya upendo moyoni kwahyo i never loved any of those b*tches out there a 100% ... I just love my mama... Cz she is the only woman with true love to me. ..
BtW
Jitahidi kujipenda zaidi connect to your "own person" and jiamini maana now days love is spoiled nigga.. Raise your hands to the sky and forget abt any thing amna kitu kitamu kama kuwa single alafu unajipenda na kujijal afya hutakuwa na mawazo yyte kuhusu mtu yyte .. Just be you forget abt love for a while.
 

10 years? Too long, hata kwaka mmoja hapiti inakuwaga jeuri tu huu mda kampata jamaa na wanawake wanaakiri za kuonyesha kipya ni bora zaidi.
 
Pole sana ndugu yangu, mungu kakuepushia magonjwa maana huyo binti anavyo onekana ni kiruka njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…