Mrejesho:Nimepata mume mwema Jamii forums

Mungu awabariki na kuwajaalia katika sherehe ya ndoa Yenu na baadae maisha ya ndoa! Kumbuka ni kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo na pia ndoa ni ya wawili tuu!
 
Ulipo toa tangazo uliweka bayana; asiwe mvutaji, mbona umeibuka na kayaman? au jina lake halimaanishi?
 
Mungu awabariki na kuwajaalia katika sherehe ya ndoa Yenu na baadae maisha ya ndoa! Kumbuka ni kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo na pia ndoa ni ya wawili tuu!

Asante,namwamini Mungu nanitamtanguliza kwa kila jambo
 
Japo avatar yako dada Mmh! ukiweza ibadili! hiyo sura ni kielelezo cha kila aina ya upuuzi na skendo hapa nchini humbly ukiweza ibadili for the sake of your personality
 
Japo avatar yako dada Mmh! ukiwa ibadili hiyo sura ni kielelezo cha kila aina ya upuuzi na skendo hapa nchini humbly ukiweza ibadili for the sake of your personality

nitabadili usijali
 
mke mmoja tena mke mwema
Nawiwa kuuliza maswali mengi sana kama upo tayari kujibu,, je mlipokutana mara ya kwanza mwisho wa mongezi yenu ilikuwa ni kuoana??je kwa mda gani??je ilibidi mshake well before use??kabla ya kushake well milipia taratibu za kiafya?? bado namaswali mingi mingi usinichoke shemeji yangu
 
Vyote vimefanyika vya muhimu
 
...unaonaje na ndoa mkiifungia jeiefu
 
Usisahau kutupa kadi shemeji wote tuliopo JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom