Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,191
Nianze na shukrani,asante mwanzilishi wa Jukwaa hili,Mungu akupe maisha marefu.
Nimepata mume mwema kwa kupitia hapa jukwaani saivi tunaendelea na process za ndoa.Ushauri kwa wale wanaotafuta wachumba huku wasife moyo wawe makini tu kuangalia aliye sahihi.
Pia kuna wanaokatisha tamaa watu waache tabia hiyo sio nzuri kabisa na kuna watu kazi yao nikuharibu jukwaa hili kwa kutafuta wachumba kwa njia mbaya mf; eti natafuta mtu wa kustarehe naye tu,niwaambie tu hapa sio kama mitandao mingine uanzishe ujinga.
Tuliheshimu jukwaa hili tusifanye utani.