Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

MKUU Nanoli NAOMBA NAMBA YA HUYO BINTI, MAANA HUYO SYO WA KAWAIDA HATA KIDOGO, MAANA KAMA NI KUBEMBELEZA NDOA HUYO KAPITILIZA.

SASA FANYA HIVI, MPE NGUO AFUE, NDANI YA SURUALI ACHA DOLA 500 (NOTI 5 ZA DOLA 100) JIFANYE UMEZISAHAU HALAFU TULETEE MREJESHO HAPA

AKIKURUDISHIA, BASI HUYO SYO JAMBAZI ANDAA MIPANGO YA HARUSI MAANA USHASEMA SIFA ZINGNE ZOTE MUHMU ANAZO
 
Hongera sana kumpata huyo bibie ,usimuache ila tahadhari ni muhimu.

Philips X2560
 
Wakati mwingine naona wivu wa kimaendeleo ni bora zaidi kuliko wivu wa mtu binafsi ambaye anacho na wewe huna halafu unajaribu kumharibia ili anayefaidi asikifaidi.

What goes around always comes around
 
Wanawake wa hivyo wapo sana tu. Tatizo sikuhizi watu atuaminiani kama zamani huko. Kutokana na experience ya majambazi wakike waliokithiri hivi karibuni wanaume wengi wameingiwa na hofu hata wakikutana na KE wastaarabu!
 
Ana mtu huyo na anakuzuga tu baadae akiamua kuliamsha dude utamsikia tu niliwahi kukuomba kitu chako

Huyu wa kwangu ni mwalimu wa secondary hana hata miaka 2 toka aianze hii kazi yake lakini ananiambia kama nampenda lazima nimtunze kwa kila hali
 
Hahahaaah,... Ntarudi hapa! Ila namba hiyo sahau kwani mwenyewe naona kama ndoto,!
 
Wakati mwingine naona wivu wa kimaendeleo ni bora zaidi kuliko wivu wa mtu binafsi ambaye anacho na wewe huna halafu unajaribu kumharibia ili anayefaidi asikifaidi.

What goes around always comes around
Yaani hata me sielewi.... Hii ni bahati
 
Wanawake wa hivyo wapo sana tu. Tatizo sikuhizi watu atuaminiani kama zamani huko. Kutokana na experience ya majambazi wakike waliokithiri hivi karibuni wanaume wengi wameingiwa na hofu hata wakikutana na KE wastaarabu!
Exactly!
 
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo........endelea kumpeleka kwenye piza na bsgger.....kisha uendelee kumpa mitonyo ili akununulie tena zawadi nyingine kupitia pesa unazompa...[emoji120] [emoji120]



[emoji12]
 
Ana mtu huyo na anakuzuga tu baadae akiamua kuliamsha dude utamsikia tu niliwahi kukuomba kitu chako

Huyu wa kwangu ni mwalimu wa secondary hana hata miaka 2 toka aianze hii kazi yake lakini ananiambia kama nampenda lazima nimtunze kwa kila hali
Hawafanani mkuu,.. Me nilikua naamini hivyo, lakini baada ya kumpata huyu, ninaweza sema kwamba ukiwa na bahati, wapooooo
 
Nina mke, lakini hatukai pamoja mkuu,.. Mimi niko huku kikazi (NGO's) ... Kwahiyo kama ni mkataba, siwezi kuihamisha familia kila niendako....
Watu wanakushauri umwoe kumbe umeshaoa na una watoto ebu mwache binti wa watu atafute wa kumuoa aaaggggrrr[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ana mke na watoto ....we omba namba kama hujaoa kamuoe ww uyo binti hili jinga linaharibu maisha ya mwenzie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawafanani mkuu,.. Me nilikua naamini hivyo, lakini baada ya kumpata huyu, ninaweza sema kwamba ukiwa na bahati, wapooooo
Basi sawa inawezekana anataka umuoe mapema kama sivyo kuna kitu nyuma ya pazia
Unampa hela then badala ajinunulie vitu vyake anakununulia tena wewe zawadi kupitia ile pesa uliyompa!!

Inaweza ikawa bahati kweli au majanga mbele ya safari
 
Sasa wewe endelea kumtega na mizinga utashangaa wenzio washaweka ndani
 
Basi sawa inawezekana anataka umuoe mapema kama sivyo kuna kitu nyuma ya pazia
Unampa hela then badala ajinunulie vitu vyake anakununulia tena wewe zawadi kupitia ile pesa uliyompa!!

Inaweza ikawa bahati kweli au majanga mbele ya safari

Kawaida acha kumtisha mwenzio.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…