Wacha ujinga wew na Elimu yako ya kuunga unga, usiwe unatanguliza Elimu yko wkt ujui unaowambia wana Elimu gani.DAAAAAAH....
Kumbe ma demu walioko humu ni MATAPELI...
Mie cjui nan TAPELI nani SIO..
Nafuata ushuhuda wa mshikaji hapo kuwa Wanawake waliopo humu MATAPELI...
Heheheheee (kicheko cha ki Engineer)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nimecheka tu..Watu hawajaribiwi siku hizi
Yani huyu anayejiita eng sijui eng wa kuzibua mitambo y choo tang jan najibishan nae kuna mada ilitolewa anajifany analeta dharau,ht usijichoshe kujibishan nae mdogo wngWacha ujinga wew na Elimu yako ya kuunga unga, usiwe unatanguliza Elimu yko wkt ujui unaowambia wana Elimu gani.
Nimeona kweli, atakuwa na matatizoYani huyu anayejiita eng sijui eng wa kuzibua mitambo y choo tang jan najibishan nae kuna mada ilitolewa anajifany analeta dharau,ht usijichoshe kujibishan nae mdogo wng
Mkuu ukoo wenu wote wewe ndo engineer peke yako?
Nashukuru sanaAsante sana! Ndo tatizo la kutafuta uhusiano mitandaoni! Labda kama mtu mmeanza kama marafiki. Ukisema kua mke wengi wanakuja kwa matarajio yao wenyewe na wachache wako serious kuhusu ndoa. Polekwa yaliyokukuta.
Kama unatafuta msabato njia nzuri ni huko kanisani kwenu. Kama unaogopa kumtongoza msichana, onana na mchungaji.... Wachungaji wanasaidia sana kukutafutia msichana wanaoona yuko serious na anafaa.
Hivi Nanjilinji ni sehemu au nini?Uyo kasomeshwa nanjilinji ndo engineer wao