Mrejesho: Nashukuru ile mimba imetoka yenyewe

Mrejesho: Nashukuru ile mimba imetoka yenyewe

Kuna hii mada hapa chini niliandika kuhusu mimba iliyotokea bila kuipanga na binti akakataa kuitoa .
Nikikataa hii mimba nitakua na kosa?

Nashukuru sasa mimba imetoka yenyewe, nadhani ni kutokana na internal complications au vyovyote ila imetoka.

Hapa najisikia kutua mzigo wa kama kilo 350 kichwani kwangu, maana hii mimba ilisababisha nikakonda gafla hasa ukizingatia sikua nimeipanga na sikua nimepanga kuzaa mtoto na mwanamke nisiempenda.

Wanawake lazima muelewe kua mwanaume anapolala na wewe sio lazima awe anakupenda, ngono na upendo ni mambo mawili tofauti.

Hii tabia ya kutegesheana mimba haina maana, mtu wa kwanza kuhakikisha unajilianda na mimba ni mwanamke, huo uwe ni wajibu wako wa msingi.

Binafsi nashukuru sana hii mimba kutoka. Kua na watoto na wanawake tofauti ni jambo ambalo sijawahi kufikiria, na hata ikitokea iwe huyo mwanamke ana sifa zile nazozipenda hata nikizidiwa huko nakuita najitafunia, sio yule mwanamke unampa mimba baada ya hapo huwezi kulala nae maisha yote yaliyobaki.

Ukistaajabu ya Musa kweli lazima uyaone ya filauni...umeondoka na mbegu zako mwenyewe, ukalilima shamba na kisha kupanda...na baada ya kupanda mazao yanaota afu unakataa mazao kuwa hukutarajia yaote...hivi ni nini hii?...ujuha?...wendawazimu?... bangi...ubongo yaya?...upumbafu...ufilauni?...au nini hasa....p'se nijuzeni!!!!
 
Hivi kuna binadamu ambae bado anatembea nyama kwa nyama?

Flabagasting![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nipo, mi kuliko unipe na ndomu bora uninyime mbunye yako,
Ila mnashangaza sana baadhi yenu mnataka na ndomu ila kwenye maandalizi mwataka nyonywa mbunye[emoji23][emoji23], afu iweje!
 
Wanaume wengine sijui wana akili mgando!
Unapata fursa ya kuitwa baba wewe unafurahia mtoto kufa!
 
Nipo, mi kuliko unipe na ndomu bora uninyime mbunye yako,
Ila mnashangaza sana baadhi yenu mnataka na ndomu ila kwenye maandalizi mwataka nyonywa mbunye[emoji23][emoji23], afu iweje!
Mbunye kuila na kondom ni sawa na kupiga punyeto.

Ni sawa na kutupa nyama ya kuku alafu unywe mchuzi. Siwezi.
 
Kaitwe wewe baba. Mimi sitaki.
Hahaaaa, mi tayari mkuu japo nilikwepa sanaa lakini mwisho wa siku sasa hivi najiona mjinga,
Najilaumu sanaa tena sana, kwanini nna watoto wadogo wakati ningekua na watoto wanamaliza form four sa hivi.

Sent from my TECNO M5 using JamiiForums mobile app
 
Hakua na mimba huyo,,,alikua anakutishia aone utareact vipi
 
Wala haijatoka amekudanganya kwa sababu anajua humpendi
 
Hivi kuna binadamu ambae bado anatembea nyama kwa nyama?

Flabagasting![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mimi hapa🙂
Ila lazima niijue calenda yako ya mwezini!.
 
Back
Top Bottom