Mrejesho: Nashukuru ile mimba imetoka yenyewe

Mrejesho: Nashukuru ile mimba imetoka yenyewe

Unapenda asali unaogopa nundu mkuu
 
Nasemaga mwanaume usimuamini sana hata kwa watoto mlozaa naye. Anaweza kuwafanya hamna ili aende kwa ampendaye
 
Huna hofu ya Mungu kabisa, unafurahia Mimba kutoka unaona ufahari.
 
Wanawake tunasteseka dah so heartbreaking if only mtu ungejua km tu huyo anakutaka tu his own benefits tusingedate Na hao watu [emoji19]
 
Hivi kuna binadamu ambae bado anatembea nyama kwa nyama?

Flabagasting![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tangu miaka ile nionjeshwe dry sijawahi kuwagonga kwa mfuko aseeee- hainogi
 
Nasemaga mwanaume usimuamini sana hata kwa watoto mlozaa naye. Anaweza kuwafanya hamna ili aende kwa ampendaye
Hii point inawahusu zaidi wavulana ,wanaume huwa hatuwakatai watoto hata siku moja
 
Usi frahi bado mapema mkuu. yaweza kua ime hamia kwako subiri baada ya wiki 1 nd u make sure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 
Ha ha ha ha umenichekesha mie acha kiwanyooshe hadi nanyie muwe wima kama chenyewe
Yaani kuna wakati kinasumbua sana kiasi cha kuhitaji kutumia mbinu za ziada kukikomesha vinginevyo tungekuwa tunachoma hadi chini tu

Kikiendekezwa kwa kukifuatisha kinataka nini ndio madhila yake kama hayo sasa
 
MADEMU WAWE MAKINI, MAANA MWANAUME HAJUI SIKU ZA HATARI KWA MWANAMKE
 
Back
Top Bottom