Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Tuna watendaji wa serikali wasengee sana nekasirika sana, hii serikali ina watendaji wasenge na mbwa sana angalieni mumeondoa uhai wa huyu kijana

Hicho chuo kilicho kataa kutoa hicho cheti kisusiwe mbwa kabisa

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Ama kweli hii ndio dunia ya sasa. Viongozi kweli kabisa wenye uwezo na WANAJUA kwamba wana UWEZO hawasaidii kwa kweli no kufuru iliyoje hii Mungu aliwapa kazi nzuri lakini wanajifanya haliwahusu LA vijana kama hawa.
Huwezi jua huyu kijana baadae angekwenda kuwa mtu mkubwa na wewe kipindi hiko ndio hivyo tena, ila tunasema dunia duara, Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Raia wema walimsaidia na akapata cheti chake
Ila nadhani mamlaka husika kuhusiana na tatizo lake waliishia kumpinga danadana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndugu anajikutaga mlokole sana sijui kwanin church niggers are so fake kuliko hata wana wanaoshinda bar wanakuaga real sana
Unachosema ni kweli hawa wanaojifanya kushika ibada ni washenzi sana
 
Hii dunia, wale wenye moyo wa msaada sijui ndiyo wamepinda socially,economically and financially kama Mimi!!!?
 
Umpe namba ya principal kweli Sio kishoka.Sielewi kwa Nini huweki public hiyo namba unaficha Nini? Mkuu wa chuo Ni official figure weka namba zake za kiofisi hapa hakuna Cha PM .
Wewe dada nakuapia utakufa kwa tabu Sana , nakumbuka yule member aliefia Muhimbili kwa kuomba msaada wa Tina ya TB ulikuwa unatoa kashfa zako Kama kawaida


Malipo ni hapa hapa duniani lazima utaguswa na muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah naumia Sana wewe YEHODAYA utakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu sio mtu wa kwanza kufa kwa kuzihakiwa , tangu mwaka Jana huyu ni wa tano kwa kumbukumbu zangu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…