MREJESHO: Msaada wa bima ya afya

MREJESHO: Msaada wa bima ya afya

Hello wanajf.
katikati ya mwezi wa tisa nlikuja hapa kwa ajili kuomba msaada wa kufungua bima ya afya.na mwitikio ukawa mwema kuna waliohamasisha walionipa pole,ewaliotoa mawazo na walionichangia.
japo sikufanikiwa lengo na watu kuwa kimya..kuna mdau humu akanishauri nijiunge bima kwa hiyohiyo nlopata kwa kampuni tofauti.hatimaye nkafanikiwa kujiunga kampuni ya resolution

nashukuru kwa umoja wenu,upendo wenu hata leo hii nimefanikiwa kuwa na uhakika wa matibabu.JEHOVA atawazidishia.
Daaah! Mkuu kumbe bado katoto kabichi kiasi hicho? Ungeniambia hata ukawa dependant wangu bado nina nafasi mbili
 
Hello wanajf.
katikati ya mwezi wa tisa nlikuja hapa kwa ajili kuomba msaada wa kufungua bima ya afya.na mwitikio ukawa mwema kuna waliohamasisha walionipa pole,ewaliotoa mawazo na walionichangia.
japo sikufanikiwa lengo na watu kuwa kimya..kuna mdau humu akanishauri nijiunge bima kwa hiyohiyo nlopata kwa kampuni tofauti.hatimaye nkafanikiwa kujiunga kampuni ya resolution

nashukuru kwa umoja wenu,upendo wenu hata leo hii nimefanikiwa kuwa na uhakika wa matibabu.JEHOVA atawazidishia.
Mkuu naomba unipe taarifa kuhusu io bima ya resulution Mana na Mimi nashida ya bima binafsi mkuu..iwa ajili ya mama yangu
 
Back
Top Bottom