Kipimo Cha Mimba kinaonyesha baada ya wiki mbili. Huyo wa wiki moja Ni wazi alitaka kukuibiaKuna mdada juzi kaja kwangu nikamtindua nikamlipia nauli kaenda dar kafika tu baada ya wiki nikatumiwa kipimo cha mimba mistari miwili akaanza baby nina mimba yako me nikamwambia hongera sana yy akaanza naogopa sijajipanga nataka kuitoa nimtumie laki nikamwambia kwetu hatutoagi mimba hivo hakuna kutoa zaa ntalelea mpaka leo hana hamu na me na mimba hana ilikuwa danganya toto anipige wananwake mtafika mbinguni mmechoka sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe kila Uzi unakomenti "duh aiseee"
Kuna mdada juzi kaja kwangu nikamtindua nikamlipia nauli kaenda dar kafika tu baada ya wiki nikatumiwa kipimo cha mimba mistari miwili akaanza baby nina mimba yako me nikamwambia hongera sana yy akaanza naogopa sijajipanga nataka kuitoa nimtumie laki nikamwambia kwetu hatutoagi mimba hivo hakuna kutoa zaa ntalelea mpaka leo hana hamu na me na mimba hana ilikuwa danganya toto anipige wananwake mtafika mbinguni mmechoka sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama uko makini namna hiyo katika kumpima
Uwe makini pia unapomkojolea!
A wi tugedha?
Hawa viumbe ni wakuwala kwa mparange tuTena wewe usiongee. Jana ulikuwa unanipopoa😅