Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

umpate anayejua badoo watsap skype fb twitter ni shiiiidah
 
ndo mzuri huyo hata ukiwa na mchepuko ngumu kukushtukia
 
Daaa umenikumbusha msichana mmoja alikuwa mrembo haswaaaaa yani alikuwa hajui kusoma nayeye alikuwa akitumiwa meseji basi anakuja na kijihabari cha kukuzuga usomee ile meseji, cha ajabu meseji unakuta imeandikwa "mambo mzima wewe" lakini gia anazokuingia nazo huwezi jua kuwa hawezi kusoma
 
Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hizo nafasi hutokea kwa nadra sana.

hata mchepuko wako aaweza kukutumia msg ukamwabia mkeo bby naomba hiyo sm nisome hiyo msg

dah natamani hiyo bahati ningekuwa nayo mimi,natamani sana mwanamke asiyejua kusoma
 
ha ha ha ha Mkuu yaani ni shida sana hawa viumbe kupatikana

yaani mkuu natamani niliyenae asahau kusoma na kuandika ila tatizo anajua kiswahili,kingereza,kiarabu na kikwao yaani hata sms ya kiarabu ikikosewa ikija kwangu yeye anasoma halaf ananitafsiria
 
Hongera mkuu Mungu akubaariki kwa moyo huo. Hakuna kitu kibaya kama kudharauliwa. Lakini hukumdharau na yeye atakupenda kwa hilo maisha yake yote.
Watu wengine fadhila hawana ndo huwa naogopa apo
 
Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma

Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.

Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.
Ina maana wewe na mchumba wako mlikua hamtumiani hata sms mpaka uje ugundue sasa?
 
ubarikiwe sana kwa maamuz yako la msing anza kumfundsha wewe sasa abcd za kusoma na kuandika.... naamin utafanikiwa kwenye hilo jitahd mapema maana kuna kuweka sign cheti cha ndoa mkuu.
Hakuna shida, ataweka dole gumba.
 
Hajui kusoma wala kuandika aisee kwa zama hizi MTU asiyejua kusoma ni tatizo
 
Back
Top Bottom