Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
We Jamaa Shetani anakuona[emoji23]
 
Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma

Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.

Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.
Unapafahamu kwao?
 
Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
baki njia kuuu!!
 
Wanaume vicheche utawajua hapa!

Wengine mna bahati mbaya wapenzi lugha zote wanajua looohh!
 
Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
Yaaani ulichoona ni hicho tu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hebu muoneshe noti ya 1000 na ya 2000. Ukiona hawezi kuzitambua au kukuhesabia 10 basi mpeleke ngumbaro. Kama akiweza kazi hiyo, mengine ni majaliwa. Kwani kukitanda ni aje??
Leo hii tunasumbuliwa na dot com tu. Huko tulikotoka mbona yalikuwa saafi?? Namfaham tajiri mmoja, na nikikuambia ni fogo ni fogo kweli kule Nairobi tunawaita Sonko. Lakini hajui kusoma wala kuandika. Alinitoa jasho aliponiandikia cheque ya 3m akatia sahihi ya muhuri. Nilitoka pale natetemeka hadi bank. Waliichukua, wakaenda nayo huko ndani, dk 10 tu nikahesabiwa changu. Usomi peleka UD, pesa K'koo
 
Hakuna mwanaume asiependa pale kati. sema wa Songea tunajua zaidi namna ya kupapata
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] Huko mmezidi looohh!!

Yaani nyie hapana!!

Daaah!nyie bwana hatari!
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] Huko mmezidi looohh!!

Yaani nyie hapana!!

Daaah!nyie bwana hatari!

Tuna nguvu na uwezo ndio maana tunafanya maana bila nguvu na uwezo huwezi kufanya
 
Back
Top Bottom