Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
Hahahhh isije ikawa anamuektia [emoji28]
 
Mkuu tayari umeshamfedhehesha sana ama umemdharirisha sana kutibua kwetu kuhusu jambo ambalo ni siri im sure whetever she/he (becouse sijafuatili sana kama ni ke au me that is the reason nimeweka alama / ) akijua uenda akakuacha au kutokukupenda kwa moyo wote ,ILA AMINI MAMBO YAKO NA MPENZI WAKO NI SIRI YAKO WEWE NA YEYE.
 
Kama ni muislam basi hata madrasa hajaenda
 
atazaa watoto mbumbumbu umwisho utakua wao darasani
 
Mkuu samahan lakin kwa swali la kizushi, wewe una kiwango gan cha elimu?
 
Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma

Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.

Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.
mfundishe hata kidogo
 
Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm

yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.

una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
tehe tehe tehe tehe
 
tunasubiria mrejesho wa mwisho kama ni kweli hajui au anajifanyisha
 
Niliwahi kuwa naye mmoja aisee nilijuwa yupo bize. Manake ilikuwa Kila nimtext yeye anapiga yaani ndani ya wiki nikagundua kumbe demu Wangu mbumbumbu, Basi nikakausha nikajifanya sijui kwa kuhofia kukosa wowowo la bure.

Na yeye alistuka kuwa nimejua,Basi alizidi kunipenda Kwa kuwa ninamfichia aibu yake, Na alikuwa na Pesa nikawa nabunya kama staki vile. There after nikawa huru na simu yangu muda wote Kwa upande wa SMS. Yaani tuliachana lakini nilikuja kujua Illiteracy ni Bahati kuwa naye kikubwa awe na kipato.
 
Back
Top Bottom