Hapa Ubungo stand ya Mkoa nimekiona kwa Muuza Vitabu. Naskia kizuri sana.Nasikia kuna kitabu zamani kilikuwa kinaitwa hadhithi za bonuasi kitu kama hicho!
Umeona eeeeh jamaa liongoo liongo kweliKinachonishangaza kaletewa raba,jinz,tshirt na demu ambae sidhani kama alikuwa hata anajua saizi ya vitu anavyovaa jamaa
Teh una akili sana sumbaiNdege mjanja hunaswa kwenye Tundu bovu. Itafakari saana kauli hii....
...imepoteza majiraSaa mbovu...[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu uko sahihi namba 1&2. Hili zigo nilikuwa nimempa jina la ngedere maana virungu vyake grade1 yaani tarakimu5 ila jana kaniacha hoi asee..ninawaza sana hapaNimeusoma Uzi wako na nimegundua yafuatayo;
1.Wakati huyo mwanamke anawaza mapenz ww unawaza revenge (kumkomoa)
2.Ukimpa fedha yako unahisi kama umepoteza
3.Huna imani na huyo mwanamke pia,hata ww hujiamini!
Sent using Jamii Forums mobile app