Ww umeweka?Wakuu ingieni pia www.dating.mobi wako njema sana pia.Pale hata kuweka picha yako lazima wa confirm kama ni wewe kweli.Hakuna kuweka picha ya mtu mwingine kule.
watu siku hiz hawaogopi hawa wanawake wa mitandaoni siku hiz kuna matukio mengi ya ajabu siku utakapokuja katwa nyeti au kuibiwa kabisa ndo utajifunza
hahah et magendo!!apo ndio hua mna fail umeamua kufuguka weka kla kitu kweupe kwn ni magendo haya
hahahaa umeonaa hawa watu hawajiuliz jinsi wanawate wanavyowindwa na sisi vidume inakuaje mwanamke akose mwanaume huko mtaani? Ana kasoro gani? ni mambo mengi Sana ya kujiulizaSi kukatwa nyeti tu, wanawake wanawageuza wanaume kwa kuwashikisha ukuta bila wenyewe kujijuwa. Mtu unahamka asubuhi mkun.du unauma kinoma na kuanza kulia mbele za watu.
Sasa huoni hapo kama kuna possibilities ndogo Sana za kupata mke borakukatwa nyeti hata jirani yako anaweza fanya hivyo mkuu ukifuata masharti ya uchumba haiwezi tokea
hahahaa umeonaa hawa watu hawajiuliz jinsi wanawate wanavyowindwa na sisi vidume inakuaje mwanamke akose mwanaume huko mtaani? Ana kasoro gani? ni mambo mengi Sana ya kujiuliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si kukatwa nyeti tu, wanawake wanawageuza wanaume kwa kuwashikisha ukuta bila wenyewe kujijuwa. Mtu unahamka asubuhi mkun.du unauma kinoma na kuanza kulia mbele za watu.
wapo kibao..kama huamini uliza watu wanao fanya kazi na wataliiMmmh nani anapenda kuja Africa.. The dark continent wanavyoita wazungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole aiseee.Mbona unalia tena, unawashangaa wanawake wa bongo? Wapo wanaobaka wanaume na kuwafila huko mitaani. Wanavaa zile chupi ambazo mbele zina madushe ya bandia. Kuna mdada anaitwa Maimartha Jesse hapa mjini anaziuza na anawajuwa wanawake wote wabakaji wa hapa mjini:
View attachment 531870
eharmony.com imefungisha ndoa 600000 4% ya ndoa USA wamekutana hapa lkn kuona picha lazima uwe umelipia. internationalcupid.com ni ya bure ugumu wake watu ni wengi sana kwa sababu hawalipii utapekuwa sana kumpata k