Mrejesho: kilimo Cha mpunga bahi!

C

cha1509

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
176
Points
500
C

cha1509

Senior Member
Joined Jul 6, 2018
176 500
Gunia moja gharama zake mpaka kulifikisha sokoni ni kiasi gani?

Bei yake ni kiasi gani?

Faida kiasi gani?
Unanunua kijijini kwa 55k-65k unasafirisha kwa pikipki 3000 mpka mashineni unakoboa kg 1@50 tsh

Unauza hapo hapo kg1@1400tsh
 
Pendael24

Pendael24

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Messages
2,422
Points
2,000
Pendael24

Pendael24

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2014
2,422 2,000
Hongera sana boss, kama ulivyosema jembe halimtupi mkulima ni kweli kabisa. Nadhani ni kuto kukata tamaa pale matarajio yanapo kuwa tofauti na matokeo. Pia kuangalia ni eneo gani ambalo zao husika hustahimili mazingira.

kwa mpungu maeneo kama mbea kilombero turiani kilosa ifakara huko ndio kwake.

huwezi kwenda kulima kahawa singida useme itakubali.singida mahindi alizeti. Kilimanjaro bukoba ndizi na kahawa ndio kwake.
 
C

cha1509

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
176
Points
500
C

cha1509

Senior Member
Joined Jul 6, 2018
176 500
Hongera sana boss, kama ulivyosema jembe halimtupi mkulima ni kweli kabisa. Nadhani ni kuto kukata tamaa pale matarajio yanapo kuwa tofauti na matokeo. Pia kuangalia ni eneo gani ambalo zao husika hustahimili mazingira.

kwa mpungu maeneo kama mbea kilombero turiani kilosa ifakara huko ndio kwake.

huwezi kwenda kulima kahawa singida useme itakubali.singida mahindi alizeti. Kilimanjaro bukoba ndizi na kahawa ndio kwake.
Kweli
 
enhe

enhe

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,551
Points
2,000
enhe

enhe

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,551 2,000
Gunia moja gharama zake mpaka kulifikisha sokoni ni kiasi gani?

Bei yake ni kiasi gani?

Faida kiasi gani?
Maswali mazuri sana haya na yamekuwa hayajibiwi mara nyingii😁 Ili tunaotaka tujitose kwenye kilimo tujue vizuri gharama za uendeshaji na faida ikoje.
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,287
Points
2,000
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,287 2,000
Nimejiapiza sitalima tena kilimo cha muda mfupi,mimi ntawekeza kwenye kulima miti wajukuu wangu watapiga hela balaa.
 
C

cha1509

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
176
Points
500
C

cha1509

Senior Member
Joined Jul 6, 2018
176 500
Manake kila ekari inatoa gunia 10
Ndio, lakini Kama msimu mzuri unatakiwa upate Kila magunia 25-30
Msimu ukiwa mzuri. Ila kwa mwaka huu kwakweli Ni changamoto kubwa mno
 
C

cha1509

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
176
Points
500
C

cha1509

Senior Member
Joined Jul 6, 2018
176 500
Maswali mazuri sana haya na yamekuwa hayajibiwi mara nyingii Ili tunaotaka tujitose kwenye kilimo tujue vizuri gharama za uendeshaji na faida ikoje.
Nadhani nimeyajibu kwa ufasaha, km BADO Kuna mkanganyiko niuluze tu mkuu, nitajaribu kukujib kadri nijuavyo.
 
Forum statistics

Threads 1,315,049
Members 505,132
Posts 31,846,430
Top