Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

Kilimo ni mtaji, na hicho ndio kinamtofautisha Masanja na wengine. Hata mimi nikipewa 50mil nikalime ni obvious nitatoboa.
Unawekeza 25 kwanza ukidunda unakuwa na 25 reserve. Unajitupa tena from there lazma u make headlines!

Uzuri wa kilimo cha nafaka hupotezi jumla, ila utapata faida kidogo sana au utakata mtaji kiasi!
 
Daah yaani mkuu kigwangala anatisha.

Niliona na ana ng'ombe pia anapiga mnada.

Wenzetu wanafaulu coz wana mitaji ya kutosha aisee.
Yeah ukiwa na Cushion ya mtaji inakusaidia kama backup ukidunda au mambo ikienda vibaya! Pia wenzetu wana Network pana!

Usitegemee jamaa atateseka kuuza mpunga kupitia madalali. Unakuta ngoma straight imekuwa exported to Malawi, Kenya au Rwanda. Chap kwa ukali mtu anafungasha hela zake!
 
Mwisho wa siku halimii njaa.

Ukiwa nacho unaongezewa.
 
Mwisho wa siku halimii njaa.

Ukiwa nacho unaongezewa.
Hahahah yani ndio maana wanafanikiwa maana anakuwa hana uchu sana na hayo mazao. Ni mahala pa kupumzishia hela tu.

Na uzuri wa Kilimo ukifata formality tu unapata matoke chanya ila ukiunga unga mwana ndio yale ya kupata gunia 5 kwenye heka 3 yanakukuta 😂😂😂
 
Heka 45 kuzilima unazungumzia investment ya 60M+
Huyo mtu hana shida kwakweli, ni mtu analima for fun!
Alaf watu hawajui Tu , ukiwa na capital unahtaj akli Tu kutoboa , but skills without capital nothing you can do , utaenda mwendo wa Kobe sana, juzi nilimsikia Masanja anadai yeye ni mkulima wa mpunga na anawaasa vijana wajiajir , akazungumzia gharama Tu ya mbolea inashoot kwenye 36mil out of other costs Kwa ekar 150 , .....
Ukija kupiga total cost hela yake unaweza fanya mishe nyingine Tu mjin na ukamake 💰 kumzidi
 
Asikwambie mtu biashara yeyote ile ukiwa na mtaji wa maana inaenda freshi tu hata biashara za kijinga za faida za shilling 100/100.

Imagine mtu akupe mtaji wa 50m ukaamua kuingia vijijini ukakusanye mahindi kipindi ambacho wanavuna bei iko chini sahizi gunia around 30000 ukapeleka Dar ukauza 70000 ni hela kiasi gani utakuwa umetengeneza ndani ya mwezi mmoja tu?

Chukulia umenyofoa million 10 tu katika hio hela upate 10000 tu faida kwa kila gunia. Ni pesa kiasi gani utakuwa umetengeneza?
 
Nini ilkua changamoto kubwa iliyokukumba mkuu?Ili na wengine tujue namna ya kujipanga....mwaka huu
Nimelima heka 4 msimu huu huko morogoro nimeambulia gunia 9 tu. Nikipiga hesabu ya gharama niliyotumia kwenye kilimo nasikia hasira tu.

Ila sijakata tamaa hapa nabadilisha uelekeo tu naenda kulima mbeya safari hii ila nitaongeza idadi ya heka.

Kuna sehemu wanapaita Kapunga ndio Nina mpango wa kwenda kulima msimu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni DENE ENTERPRISES CO. LTD kwa mahitaji yote ya bidhaa bora za nafaka kama mchele, mpunga, mahindi, maharage. Pia tunaagiza vifaa vyote vya kilimo. Tuagize nasi tutakufikishia kwa uaminifu kabisa kwa bei nafuu.
Badili mfumo wako wa kilimo. Lima kisasa uongeze tija kwenye mazao ili upate faida.
Tufollow katika ukurasa wetu @deneenterprises
 
Asante, inategemeana na aina ya mbegu uliyopanda, Kuna mbegu zinaiva ndani ya siku 90 na 120 lkn pia Hali ya hewa inaweza kusababisha mpunga wako ukachelewa kukomaa, Kama ukilima mbegu moj wanaipenda sana hapa bahi, inaitwa NGANYARO, yenyewe huwa inarefuk tu maji yanapozidi kuwepo, inaweza fikia hata fut 5 kabisa, ila punde maji yanapokauka inabadilika rangi na kukomaa ndani ya siku chcahe tu.

Gharama: kiukweli kilimo Cha mpunga kina gharama lakni mavuno yake yanafidia Mara dufu gharama uliyotumia. Mfano mm nilikodi 150k@heka moj,
Kulima na trekta 60k@heka
Kupandikza mbegu 70@heka

KUVUNA:
Mtu wa kuamia ndge20@mwez (mahitaji yote juu yako)
KUVUNA na kupiga 4000@gania
Usafir toka mbugani mpka mashineni au stoo bahi 3500@gunia moj.

Nadhani hapo umepata picha
 
Back
Top Bottom