Mrejesho: Je ndoa hii nani mkosaji?

Mrejesho: Je ndoa hii nani mkosaji?

Mie naona kama unatangaza kijanja biashara ya dawa. Hawa watuma sms wasiofahamika wamesababisha nisiwaamini watu wanaohadithia matatizo yao kisha mwishon wanataja mbinu za dawa za kiganga
 
Huyu jamaa ni mganga tapeli aitwae Mtu Mzito au mganga tapeli mkuu aitwae Mungwa Kabili. Jamaa ni matapeli wakimataifa. Ukimtafuta huyu jamaa PM umeliwa. Hawa jamaa ni profesional conman. matapeli wakimataifa.

Mtafute utapeliwe mchana kweupe
Mkuu ingejikita hata kwenye maada kuliko kuamnisha watu kitu usichokijua..mimi sio mganga wala uganga siujui.

Pia sijaleta biashara mkuu.
 
K inaziba sawa, ataanza kugawa tigo sasa. Napo vipi? Au hiyo dawa inapoteza hata kunduz?
 
Back
Top Bottom