Umejichanganya zaidi ya jana, Nimepifia post zako zote mbili kwa kurudia rudia umejichanganya kwenye mambo makuu mawili.
Kubwa na hatari zaidi ni kupewa dawa ya kuziba K ya mwenzako, kumbuka umeondoa furaha ya dada poa wa watu kila siku atakuwa analaani na kulia juu ya ulichomfanyia japo hajui kuwa ni wewe ila chozi lake haliyaenda bure.
Mbili, dawa ulizopewa siku ukijichanganya kwenye mashart utajuta na kulia kama vile uko jehanum, na latatu ni kuvunja uchumba wa miaka saba na kuchanganywa na **** ya huyo mwanamke ulienae ambae ametulizwa na mapepo wala sio ww.