Mrejesho: Je ndoa hii nani mkosaji?

Mrejesho: Je ndoa hii nani mkosaji?

Kaziba K kwa dollar 1800+1500$ lakini umeacha halichachi, watu tutajiunga halichachi,wewe na mganga wako wote ma fafafa
 
Heshima kwenu JF memba.

Nielekee kwenye maada tajwa hapo juu,miezi kadhaa nilileta uzi kwenu kuomba ushauri juu ya ndoa yangu .

Mlinishauri ushauri wa kila aina,asilimia nyingi mlinipa pole na kunitaka niachane na mke huyu.

Niliwaza na kuwazua zaidi sana nilichanganya baadhi ya mawazo yenu na yangu,nikaamua kumwambia mke wangu kua nampenda sanaa lakn ndoa imemshinda do and don't za ndoa kwake ni ngumu.
Nikamwambia tulipendana na kutafutana wenyewe sasa nahisi kilichotuunganisha kimeisha hivyo tu~break up..akakataa kataa wazo hilo akadai labda nataka kumwacha tu..yeye hana shida ndoa anaihitaji,pia anasoma na kuachana kungeharibu kila kitu chake pia kumvuruga mtoto.

Niliamua moja kua huyu mtu ashanivuruga pia hana dalili ya kua mke wa ndoto zangu..niliamua kutafuta nyumba mjini nikaamua Mimi niondoke.

Hatimae nikahama nyumbani kwangu nikamwachia kila kitu Mimi nilibeba nguo na vyeti vyangu tu.

Baada tu ya kutoka alinisumbua sana anaomba tuyamalize sasa anajua umhimu wangu kuwepo pamoja nae.
Nyumba alinikuta nimejenga baada ya kufunga ndoa nilimnunulia gari hivi vyote nilimwachia.

Alijaribu kila njia anayojua akitaka nirudi, akaamua kwenda nyumbani kwetu akafika anaomba asaidiwe Mimi nirudi kwake na ananihitaji, kikubwa ilibidi aseme kila kosa alilofanya.

Wazazi waliitisha kikao na ushauri wa kila aina ulitoka lakini nilihitimisha kwa kuwambia nishamsamehe lakn waniache niishi pekee yangu mpaka nitakapoona nahitaji vingneyo.

Baada kikao kile wazazi wa upande wangu na mama mkwe walinipongeza kwa kuvumilia mambo magumu sana,na wakasema wananiunga mkono kwa kila hatua.

Baada ya muda nilipata wito nyumbani kwa wazazi wangu,nilipofika mama akaniweka chini akanambia, `mwanangu pole sana unapitia magumu sana na ushaamua kumuacha mkeo lakin mwanume kuacha nyumba yake akahamia kwingine Jamii itakuhukumu kua umekimbia majukumu yako,je unataka kuzaa watoto kwa mfumo aliowazaa ninyi ?`


Nilitafakari sikua na jibu akaniambia tena 'usivunje ndoa mwanamke huyo mtengeneze akishindwa na hilo basi utaachana nae,'wakaniambia kuna mtu atanielekeza kwa mganga kwa ajili ya kumtengeneza mke wangu。

Baada ya muda nilifikiria mengi magumu niliopitia ndoani, lakini nikakumbuka ,nilivyosota kuifikia ndoa na mengine mengi, nikaamua kama kweli kuna mganga nijaribu ili niepuke kuzaa watoto kwa mama tofauti(sikua napenda nifanye kosa hili maishani)


Nikaelekezwa na safari ya kwenda kwa mganga nikaanza hadi nchini Malawi ambako nilikutanishwa na mzee mmoja,nikasimulia yeye hajui lugha yangu nami sijui lugha yake isipokua kuna mkalimani tu ..

Baada ya kumaliza mganga akaniambia tatzo langu kwake ni kesi ndogo kama nipo tayari kumlipa dollars 1500 anipe option 2

1.Anipe dawa nitampaka mke wangu kwenye K. akienda kugegedwa mwanaume akitaka kuingiza atachomwana na kitu kama msumari na hatoweza kuingiza,,madhara yake baada ya siku 2 mwanaume atafariki.

1.Anipe dawa ya kumpaka pia kwenye K..ambayo akifika muda wa kuingiziwa K inaziba na isionekane kwa mwanaume anaekua nae ..ila mashart nisijaribu kumwambia akishaanza kuona hayo matatzo.

Nilichagua la kupotea na kuziba kwa K akitaka kugegedwa na mwanaume mwingne..nikarudi zangu nyumbani

Kabla sijaamua kwenda kwa mke wangu,niliamua kufanya jaribio kwa dada poa mmoja namfahamu alimkataa mme wake bila sababu kisa alipewa mali za urithi akaamua aishi apendavyo na mali zake ,nikamununua nikaenda nae guest wakati namchezea nikampaka Ile dawa nikasema mwanaume yeyote isipokua Mimi asiweze kuingiza penis kwenye K hii kuanzia sasa na ikibidi ipotee,isipokua Mimi tu ndio isinekane shida nikitaka kumwingizia..Baada ya siku hiyo tukaachana zikapita siku 3 nikamfuata yule dada dukani kwake kwa lengo la kumtaka mgegedo..akaniambia anatatzo kubwa tangu usiku tulipoachana amekumbwa na tatzo kila mwanaume anaemchukua wakifika kwenye kumwingizia K yake inaziba na haionekani sasa kashajaribi zaidi us watu 5 tofauti,,nikamwambia twende tulivoenda nikagegeda kama kawaida,,nikajifanya kumwambia kumbe ulikua hutaki kunipa mbona upo sawa..


Baada ya siku 3 niliamua na mke wangu alinitafuta tukatoka out na jioni ile akalala niliko hamia nilimpokea kwa mapenzi yote na yeye akajaa usiku.nikafanya zoezi langu..kimsingi mbali na yote Mimi nilitaka aache umalaya mengne yanavumilika ila.kuchapiwa dah[emoji16] [emoji24] [emoji24]

Baada ya kama mwezi mmoja nahisi alienda kwa hawara yake siku hiyo alirudi kababaika macho yamevimba kwa kulia, akaniambia mme wangu Nina tatzo sijui na siwezi kukuelezea, ila nikija kwako napona, akamaliza kwa kusema asante mme wangu nami nikamuuliza nini naomba twende hospitali akasema hakuna yupo sawa.


Mbali ya hayo ndoa yangu imerudi sasa yapata miezi 3 tupo pamoja Mimi nina amani ya moyo na ndoa imenawiri saana.

Ukweli dawa zipo ,na kingne baada ya kulipa Ile dollars 1500 nilipewa mashart kua Ile dawa ni marufuku kupita nayo ziwani au baharini(eti majini yataiua nguvu )

Ilibidi nikodishiwe helkopita inivushe upande wetu hadi maeneo ya vijiji cha mwanzo wa Tanzania nilikua nimezamilia nikalipa dollar 1800 ikavushwa lengo nifanye mke wangu awe wangu tu na amani ya.moyo irudi.


Kama unataka na wewe mkeo awe wako tu, ukitaka nitakuelekeza uende kwa mzee, uje unipunguzie gharama dawa nilipewa kakopo kakubwa ninayo akiba ya kutosha kati ya watu 10 hivi.



Nawasilisha.
NI ZURI ILA HILO HALIFAI KWA SABABU KUNA KIFO NA HUJUWI NANI ATATANGULIA, JE UKIFA LEO WHAT NEXT ITAKUWA HANA TENA UWEZO WA KUOLEWA JE DHAMBI HIZI NANI ATAZIBEBA
 
Duuuuu kumbe ni tangazo la biashara...kweli magu nomaaa
Hapana,nimereta mrejesho tu sikujua kama nimeleta kama biashara, isipokua niliamni kama Wapo wenye kasi kama hiyo wanaweza kufanya kama wanahitaji.
 
Unalazimisha mapenzi mkuu! Kumbuka kila uchawi una dawa yake, mkeo ni malaya... ipo siku atautegua uchawi wako!
Uamzi sahihi ni huo uliouacha na kukimbilia kwa waganga!
Hapa mpaka kufa labda aende kule kwa alienipa,bahati mbaya nikifa Leo mgegedo ndio basi tena.
 
NI ZURI ILA HILO HALIFAI KWA SABABU KUNA KIFO NA HUJUWI NANI ATATANGULIA, JE UKIFA LEO WHAT NEXT ITAKUWA HANA TENA UWEZO WA KUOLEWA JE DHAMBI HIZI NANI ATAZIBEBA
Hapa ndio pa moto mkuu,nikifa Leo kwake ndio kwa heri ya kuolewa..ila sijutii potelea mbali alininyanyasa na nilimpenda sikujali kitu.
 
kwa hiyo ulitumia Usd 2300 kwa ajili ya dawa ya kuziba wakati mshana jr angekupa kwa mia sita tu
 
Back
Top Bottom