Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Lodge anafanya nini sasa, huoni ushahidi wa kimazingira unamfunga. Unajuaje kama ndio alikuwa katoka kumwagiwa michuzi na baharia kijicho masofa.???
We una kwako, unakutwa Lodge unafanya nini?
 

Atakuwa alitoa talaka kwa kutumia reference ya kifungu cha sharia 127:1 ibara ya 6 inayosema

Ukiona manyoya ujue kuku kashaliwa

 
Lodge anafanya nini sasa, huoni ushahidi wa kimazingira unamfunga. Unajuaje kama ndio alikuwa katoka kumwagiwa michuzi na baharia kijicho masofa.???
We una kwako, unakutwa Lodge unafanya nini?
Ushahidi wa kimazingira nini??? Lodge alikuwa na mishe zake binafsi, labda bibie anafanya kazi ya ukachero hataki mume ajue?? Anachukuwa room Kutoa data zake na kukamilisha mambo mengine ya kazi kisha anarudi home..... Mimi sikubaliani na namna talaka ilivyotolewa.... Na sisi waislamu kesi hiyo ni lazima uwe umewaona wale watu wakijamiiana tena uwe na mashahidi wanne ndipo huyo mwanamke aachwe na kupigwa mawe mpaka afe.... Sasa jamaa kamkuta maza katulia zake kitandani oooh talaka... Ni ujinga huo
 
Ahahahaha kwahio jamaa aendelee kugongewa hadi amuone kwa macho anayemgongea. We mama wa Nyumbani na ukachero wapi na wapi.

Mke hana kazi, sasa anaendaje guest kufanya nini?
 
Hio ilikuwa kizamani isitoshe hao ni wakristo. So mazingira ya fumanizi yanatosha tu kumpiga chini.
Hata ingekuwa mimi nakukuta guest maelezo hayaeleweki we ni msaliti tu.
Nasma gani mkristo?
Halafu sheria za dini hazina uzamani.... Sisi hatuna kuupdate vitabu wala sheria.... Zimewekwa basi Zitakuwa hivyo..... Jamaa kayumbaaa
Nimeona watu wamenuna humu
 
Na sisi waislamu kesi hiyo ni lazima uwe umewaona wale watu wakijamiiana tena uwe na mashahidi wanne ndipo huyo mwanamke aachwe na kupigwa mawe mpaka afe.... Sasa jamaa kamkuta maza katulia zake kitandani oooh talaka... Ni ujinga huo

Bibie naona unachanganya hukumu ya mzinifu aliye kwenye ndoa na talaka,talaka mazingira yake hata ukifanya utani tu ukamwambia mkeo "Wewe nimekuacha hiyo inahesabika ni talaka" ndio maana hutakiwi mtu kuleta mzaha katika suala la kuacha.

Kwa minajili hiyo suala la kutoa talaka halihitaji mpaka watimie mashahidi wanne wanaume wenye akili timamu.

Sababu unazozitoa sio sababu kwa sababu unajenga dhana na hakuna ushahidi wa dhana,kwani wahusika wanamjua mama Nasma kuliko wewe.

Je nikikuuliza kama mwenyewe mama Nasma alikiri ya kuwa yeye ni mzinifu ? Utakataa ?

Pili,muislamu hutakiwi kuwafanya wenzako wakudhanie vibaya,kawaida guest hufahamika kama ni nyumba ya wageni na hasa watu wanaenda kuzini na ni mara chache sana kutumika kwa kazi nyingine. Je mama Nasma ni mgeni ?
 
Ok
 
Tuko pamoja,ukipata muda rejea tena katika vitabu vya Hadithi na Fiqhi ya Uislam katika mlango wa Talaka utafaidika pakubwa hasa rejea kitabu cha shaykha al Fawzan kinaitwa "al Mulakhaswi al Fiqihiya" na kitabu cha imaam Nawawi na Imam Ibn Qudammah Allah awarehemu.
 


Wewe ni fala sana, una roho ya kimaskini
 
Ndoa mura ina UPs and DOWNs zake
Huyo uliyemsaidia
Kwa sasa ataonesha msimamo
Ila muda ukienda
atashikwa na matamaa
then atatafuta mwanamke
mwisho wa siku huyo Jamaa nae atajihoji:
KWANI HATA YEYE NI MANGAPI AMEFANYA NJE YA NDOA?
JE YEYE NI MSAFI?

basi hapo ndipo atarudi kwa huyo mwanamke unaehisi wameachana!
alafu ukute wana watoto
hapo ndiyo sasa rahisi kurudiana
kwa sasa anaona aibu
Mwisho wa siku ukirudi kwa huyo mwanamke
unajua atakachomwambia?
ATASEMA KUNA WATU HAWAPENDI KUWAONA WAKIWA NA FURAHA KTK NDOA YAO
WANACHONGANISHA NA
WAMEKOSA MAMBO YA KUFANYA
COZ HATA LILE TUKIO HAKUWA ANALIJUA

alafu mwanamke atamuuliza
baba Kwani kuna mtu ulinikuta nae ndani?
Mume atasema HAPANA
mke amwambie Kiukweli
alitaka tu kumpima imani yake
Je anamwamini kiasi gani
ndiyo maana akafanya vile
alafu amalizie kwa kumuuliza
kwani baba wewe nani huyo amekwambia?
HAPO SASA NDIYO JAMAA ATATAJA JINA LAKO MLETA UZI
then ndiyo utajua kuwa ndoa ni zaidi ya ufikiriavyo
nawe siku nyingine hutarudia tena kumsaidia mtu kuhusu ndoa yake
utahisi wanandoa wote ni mabwege tu!
Mungu akasema tuishi nao kwa akili!

(huyo Jamaa wewe unaongea nae umevaa nguo na sauti ya kiume
But
huyo mwanamke anaongea na Jamaa akiwa hana nguo plus sauti amelegeza)

Unahisi nani atasikilizwa hapo?
 
Dunia ilipofikia kuna muda najikuta namkosea hata Mungu kwa kuona haina haja ya dunia kuendelea tena ikiwa ishafikia hatua za Watu kushangilia dhambi kiasi hiki.

MUNGU NISAMEHE SANA KWA HILI.

Huwa najiuliza ndiyo Watu ninaoishi nao mitaani, vyuoni, makazini, makanisani au sehemu mbali mbali hapa duniani ikiwa hawana hata hofu ya Mungu na wanamshambulia mleta mada kama vile kaua Mtu daaah...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…