Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwa
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aa
Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine
Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi