Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Perfect niliwah kutumia miaka miwili nyuma, yaan baada ya siku 3 tu nikawa mweupe hatari nikaogopa nikaacha, ina chubua hatari.
Sasa hivi napaka glycerine ya movit, ni nzuri unakuwa naturally, lainii na ngozi inateleza kama ya mtoto.
 
Nakushauri paka weweweee Ila ikikaribia kufika mwisho usimalizie. Paka ya juu tu.
Na ukitaka usiwe white sana paka Japo kwa week mara mbili tu. Ukipaka kila siku utakuwa mzungu balaa.
 
Kitu amaizing
 
Nakushauri paka weweweee Ila ikikaribia kufika mwisho usimalizie. Paka ya juu tu.
Na ukitaka usiwe white sana paka Japo kwa week mara mbili tu. Ukipaka kila siku utakuwa mzungu balaa.
Napakaga kila siku lakini nimeng'aa tu kiasi
 
Hapo ukifanya na scrub ya asili mbona utadamshi?
 
Hii ni ya wapi tena?
Huo ni mfano tuu nilikuonyesha ,achana na izo sijui perfect white hazina ubora na mwisho wako unaweza pata michirizi au utango tango kama unapenda ngozi yako ing’ae jitahidi ununue mafuta originally kutoka kwa wauzaji wanao import kutoka Uk au USA au tengeneza mwenyewe kwa kutumia vitu natural
 
Mshauri aina nzuri za lotion
 
perfect white inafurahisha mwanzoni baadae utapata mba n.a. utangotango kama wote....vikikutoka nitafute nikwambie dawa ha ha ha
 
usituambie bwana na wewe unang'aaa..eeheeee mama umekua kama Jua saivi au nyotaaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…