Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Perfect niliwah kutumia miaka miwili nyuma, yaan baada ya siku 3 tu nikawa mweupe hatari nikaogopa nikaacha, ina chubua hatari.
Sasa hivi napaka glycerine ya movit, ni nzuri unakuwa naturally, lainii na ngozi inateleza kama ya mtoto.
 
Nakushauri paka weweweee Ila ikikaribia kufika mwisho usimalizie. Paka ya juu tu.
Na ukitaka usiwe white sana paka Japo kwa week mara mbili tu. Ukipaka kila siku utakuwa mzungu balaa.
 
Perfect niliwah kutumia miaka miwili nyuma, yaan baada ya siku 3 tu nikawa mweupe hatari nikaogopa nikaacha, ina chubua hatari.
Sasa hivi napaka glycerine ya movit, ni nzuri unakuwa naturally, lainii na ngozi inateleza kama ya mtoto.
Kitu amaizing
 
Nakushauri paka weweweee Ila ikikaribia kufika mwisho usimalizie. Paka ya juu tu.
Na ukitaka usiwe white sana paka Japo kwa week mara mbili tu. Ukipaka kila siku utakuwa mzungu balaa.
Napakaga kila siku lakini nimeng'aa tu kiasi
 
Mi Natumia Vaseline Lotion ile ya rangi ya Ugoro Sabuni Natumia Alovela Soap Nanawia Naacha kama Dakika tano yani Sina Gharama Uso Uko Soft tu Nawashauli vitu vya Bei Ndogo kumbe Ndo Vizuri Jamani Zamani Nilikuwa Natumia Vipodozi Vya Bei Saana hata Uso Unakosa Mvuto Nimejalibu Kukopy ili Nitume Humu Imekataa
Hapo ukifanya na scrub ya asili mbona utadamshi?
 
Hii ni ya wapi tena?
Huo ni mfano tuu nilikuonyesha ,achana na izo sijui perfect white hazina ubora na mwisho wako unaweza pata michirizi au utango tango kama unapenda ngozi yako ing’ae jitahidi ununue mafuta originally kutoka kwa wauzaji wanao import kutoka Uk au USA au tengeneza mwenyewe kwa kutumia vitu natural
 
Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.

Mshauri aina nzuri za lotion
 
perfect white inafurahisha mwanzoni baadae utapata mba n.a. utangotango kama wote....vikikutoka nitafute nikwambie dawa ha ha ha
 
Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aa

Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine

Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
usituambie bwana na wewe unang'aaa..eeheeee mama umekua kama Jua saivi au nyotaaa??
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom