Mrejesho; baada ya kukataa mahari ya binti yao

Mm ni mmoja wapo nilie kukosoa sana na hilo swala lako any way pole sana mkuu..!! Huu sio mwisho wa dunia na uyo anayejiita msemaji mkuu ni ovyo sana+ uyo manzi kwahyo ataolewa na familia yake.. Go on with yo life mlango mmoja ukifungwa mingibe inafunguliwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Duuuh. Pole sana mkuu. Niliisoma habari hii ulipopost mara ya kwanza japo sikuweza ku comment. Mimi naona kila linalotokea hapa duniani lina sababu. Huyo hakupaswa kuwa mkeo. There must be a problem somewhere tangu mwanzo wa relationship yenuhasa kwa upande wa family ya huyo binti japo wewe hujaweza na hukuweza kuligundua. Inaonekana wao ndo arrogant na si family yako. Pia sio wastaarabu kabisa coz what was the reason for charging you a fine and yet they deny you to merry their daughter. .. that is not fair ta all. Pia nguvu inayotumika kupinga hio ndoa ni kubwa sana kulinganisha na hilo wanalooliona kosa lako. Binti nae haraka haraka kakubaliana na maamuzi yao bila hata kuangalia kuwa hayo ni maisha yake na si ya wazazi. Japo anapretend kuwa hataolewa tena. Mimi nakushauri, ili usipoteze muda, achana na sula hilo na weka akili yako kwenye mambo ya faida kwako kama unavyosema kuwa umeamua kusoma. Wanawake ni wengi mkuu na bado wanazaliwa kila siku. Usimfuatilie tena huyo binti wala usishow interest yoyote kwakr. As a man, usijenge uadui nae wala ndugu yake yoyote yule. Wala usitake kujua kama yupo na relationship na man yoyote yule. In short, assume huyo binti hayupo duniani na hujawahi muona. Mimi yalinipata kama hayo nikafanya hivyo na after one year nikakutana na mrembo mwingine and this time sikuhitaji consultation za family. Baada ya kukubaliana na mrembo nilienda nae kwa DC na within two months ndoa ikafungwa. Maisha raha mstarehe, tuna mtoto mmoja wa kike na mamsap kwa sasa yupo nje kwa masters. So nakushauri according to my experience. Coz what is so special with her, we are all equal hata wewe una wazazi so hastahili kukuletea ma stress ya bure na hasara ni kwa wazazi wako sio yeye. Anakera sana aaaaaghrrr. ...
 
mzee nakukumbuka sana naushauri wako naukumbuka ...suruisho ndohilo baada ya kwenda kuomba msamaha wa pili.
 
Sijawahi sikia story ya namna hiyo, na kitu kimoja ninachokiwaza wale watu ni either wachawi hivyo mizimu imekukataa, au wameshtukia kwamba ninyi ni wachawi (nisamehe, ni mawazo yangu tu).

La sivyo, walishapokea mahari nyingine kutoka kwa tajiri.

All in all, wazazi ni wa kuwashimu; kama hayo ndo maamuzi yao, it's well and good.
 
shukrani kwa mawazo yako na ushauri mzuri.
 
Sijawahi sikia story ya namna hiyo, na kitu kimoja ninachokiwaza wale watu ni either wachawi hivyo mizimu imekukataa, au wameshtukia kwamba ninyi ni wachawi (nisamehe, ni mawazo yangu tu).

La sivyo, walishapokea mahari nyingine kutoka kwa tajiri.

All in all, wazazi ni wa kuwashimu; kama hayo ndo maamuzi yao, it's well and good.

mhuu,kumbe!!
 
Hongera sana na wewe kwa kutofanya makosa ya kuoa!!Kosea mambo yote lakini sio kuoa!Kaka huyo binti na hiyo familiya sio kabisa!Ni kweli makosa yalifanyika lakini kila binadamu anakosea na anapoomba msamaha husamehewa!Hayo maneno uliyoambiwa ni makali sana kwa mkwe mtarajiwa na kwa familiya ambayo ingekuwa ya upendo na Amani!Nakuunga mkono,pole,lakini maisha mengine yapo,Mungu atakujalia utapata aliye ubavu wako!
 
wewe na ndgu zako nahisi hamko timamu,upstairs.
Mmebegeshwa sana na hao wa upande wa binti na mkakubali pelekwapelekwa tu kama maboya.
Mwisho, nataka fahamu ni kabila gani wewe?

usilo lijua ni sawa na usiku wagiza..
Mimi mngoni wao wa bena.
 
Pole sana,

Ila kwa maelezo yako, huyo binti hutaweza kumkimbia... Hata ukioa, lazima utakuja kuwa baba wa mtoto wake!

Nakushauri uendelee kujilia kile moyo unataka!
 
Hivi hizi mila za wapi tena?

Waafrika wana ubongo uliong'ang'ania mahali fulani gizani hivi na kujikuta wanaendekeza mambo ya kipuuzi puuzi...

Mnamtoza mtu mahari, mnamtoza adhabu halafu na mchumba mnampoka...huu sio ustaarabu wala uungwana hata kidogo...

We kijana mimi nakushauri kama bado unapenda na huyo binti, mchukue na uondoke naye mkaishi mbali kabisa...

Hakuna laana wala mjomba wake laana itakayokupata maadamu uwe umemaliza MAHARI yote, yaani hudaiwi.

Unakoseshwa mwanamke umpendaye na chaguo lako kisa wapuuzi wachache tu

asifanye hvyo mkuu atajiletea migogoro bure isiyoisha. Huo ukoo unaonekana unamatatizo sana ni bora kwa uamuzi aliufanya....... Wanawake wapo wengi....... Ila ningekuwa mm ile fain walionitoza wangeirudisha palepale wangezitambua akili za usiku
 
Pole sana, songa mbele maisha bado yanaendelea, akunyimae mbaazi ...................
 
Mkuu umefanya uamuzi mzur sana hzo koo zingne znamatatzo sana.... Bora umejiengua mapema huo ukoo ungekupa shida sana.... Hilo ni kosa dogo sana kulingana na adhabu waliyokupa inaonesha wanaendekeza sana ushirikina......... Lakin wao hawajui kuwa wanampa mikosi mtoto wao
 
Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu... kutokana na uzi uliyopost kabla na huu mbona inaonekana kama (...au sijui ni mimi tu) mlipendana kweli??! ...ya Mungu mengi, muombe akujalie wa kufanana na wewe.
 
Mkuu umefanya uamuzi mzur sana hzo koo zingne znamatatzo sana.... Bora umejiengua mapema huo ukoo ungekupa shida sana.... Hilo ni kosa dogo sana kulingana na adhabu waliyokupa inaonesha wanaendekeza sana ushirikina......... Lakin wao hawajui kuwa wanampa mikosi mtoto wao

asante kwa ushauri wako
 
Mpe huyo dada mimba, then utaonekana kidume yan wamekusumbua ivo afu unawaacha hivi hivi mkuu....waachie chata then wachague kumeZa au kutema, dnt give up easily, since anapretend bdo kukuhitaj nawe kuwa down then show them una mbegu, baada ya binti kujifungua kaoe kwingine, hasira sana.
 
"It's Not Easy"

I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I'm getting married
I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama I
'M getting divorced
Oh I'm getting divorced

This choice I made didn't work out the way I thought it would [x2] it hurts me so mama
Mama said to me

[Chorus:]
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it [x3]
You'll be happy again

I remember in church
When the preacher read the scriptures
You looked so beautiful and innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future

This choice I made didn't work out the way I thought it would be [x2]
Now I'm hurting

I remember when I held you
By the hand preacherman read the scriptures
Putting words in your mouth

Maybe what the preacherman said was not something that was within you
Now I know what they mean when they say

Beautiful woman is another man's plaything
Oh Lord I'm hurting now

This choice I made didn't work out the way I thought it would
Mama said to me

Ndoa ni mpango wa Mungu hakuna aneolewa au kuoa kwa bahati mbaya ndo mana kama sie hata umpendane vipi iko siku utashangaa mahusiano yamekufa na hata ukijiuliza sababu hutakaa uelewe, ila pia inawezekana Kuna jambo Mungu amekuepushia kwenye huo ukoo, either way Mshukuru Mungu wako
 
Back
Top Bottom