Mrejesho baada ya kuagiza Gari toka Japan

Achana na yard ujanja ni kuagiza gar ya mwaka 2002 tofaut na 2004.... 2005 tofaut na 2006 kuanzia bei mpk ushuru mkuu we umeagiza af hujui hizi mambo ama wewe ulipick tu moja iyo iyo.....izo rim ni size ngap nikitaka gar iwe jujuu kidogo tyre size ngapi.?

Mkuu kila mtu ana choice yake kuna wanaopena za 2002, 2003 wengine 2006 kila mtu anachagua anachotaka na pesa anatoa yeye, usimpangie mtu hii ndo shida ya watz na unaagizaje gari kama hujui kodi??

Before hujaagza gari lzama ujue kodi, gharama za clearing, tbs, bima nk
 
MREJESHO: ndinga nimetoka kuichukua usiku huu apo water front bandarini ipo poa kuliko ata nlivoiona kwenye picha ila tbs wamesema tyre zime expire ivo nibadili ndo nipate usajir kwa sasa ntatembelea chassis number ndan ya wik mbili niwe nimebadili na kupewa numba....
 
Umeambiwa angalia CIF ya kwenye Invoice yako acha kukariri..

Kama ilikuwa bei juu kulinganisha na ya kwenye calculator ya TRA lazima bei itaongezeka..

Jamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur

Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m

Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m

Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....

Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa

Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza
 
Anaetupiga ni nani TRA au
 
MREJESHO: ndinga nimetoka kuichukua usiku huu apo water front bandarini ipo poa kuliko ata nlivoiona kwenye picha ila tbs wamesema tyre zime expire ivo nibadili ndo nipate usajir kwa sasa ntatembelea chassis number ndan ya wik mbili niwe nimebadili na kupewa numba....

Kama unajamaa ako ongea nae anavua zake afu unaweka kwa muda then unaenda tbs chap wanakupa certificate ukiona huwez wape kitu chap wanakupa me huwa sipend poteza muda kabisaa.

Kuendesha gari bila kusajiliwa ni kosa kubwa sana asee unaweza kuwa huna kosa ila wewe ukaonekana ndo unakosa kuwa makin sana
 
Jamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur

Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m

Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m

Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....

Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa

Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza

Mzee kuna assessment documents lazma upewe kutoka tra lazma unwambie agent ako akutumie inakua pamoja na control no. Kama unampa agent afanye kila kitu ndo kosa linakua hapo wengi wanapigwa
 
Mkuu yako kali sana dah...Sbt zao mechokachoka sana upo sawa mkuu.

Nimeagiza Sbt toka 9/4/21 gar imefika 13/7/21 af wamekuja kuniambia 20/7/21 af wananiambia nilipie storage sh 25000 per day kuanzia 13/7 mpk nitakapo toa kwa hili ntakwenda petrol ofisin kwao kitakachotoa kitakua mjadala humu.

Profoma mpka kufikisha gar apa ni 12,500,000 af wananiambia et ushuru umepanda niongeze la lak Saba hiv wakati nikiangalia TRA calculator inanionyesha ushuru umeshuka sana pind naagiza ulikua 6.6m leo ushuru ni 6.1m kwa ist ya 2006 af mjomba ananiambia ushuru umepanda sijui aniona mi wa maporini mzee leo sikukuu kesho asubuh sana ntakua ofisin kwao na kidumu changu cha lita 5 kitakachotoa hakitakua Siri kama hakutakua na maridhiano
Pole mkuu
 
Wanajitahid sema gari chache, na wakishusha gari hazikai tofauti na kampun zingine kuna gari nikicheki beforward toka april mpaka leo ipo

Wewe unajali nini kama gari za BeForward zinakaa sana sokoni kwenye yard Japan na kuonekana muda mrefu kwenye website ya BF Japan ???? I don’t get it
 
Kwani huwezi kuagiza mwenyewe bila kuwatumia mawakala

Wewe utaamini kumtumia pesa mjapan usie mfaham ama kampun huijui ipo ama haipo kweli mkuu? Lbd siku hiz miaka ya nyuma watu wamepigwa sanaaa
 
Jamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur

Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m

Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m

Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....

Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa

Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza
Nakubaliana na wewe mkuu hawa maagent wanatupiga sana.

Kuna gari niliagiza ilikuja na CIF kubwa (USD 3,760) kulinganisha na ya TRA iliyokuwa USD 2765 na kodi ilikuwa 7.537,531 na kodi ilibaki ile ile iliyokuwa imekadiriwa na TRA.

Tatizo linaanza pale unapoagiza gari kupitia kampuni isiyowaaminifu na kumpa agent hela afanye kila kitu. Wakati inatakiwa kodi ikitoka akupe ulipie, TBS akupe Control no. ulipie mwenyewe sio kumpa mzigo wote.
 
Af iyo ya Kwenye TRA calculator uwa ni makadilio tu ya juu kiuhalisio unakuja kulipa ya chini sana aisee.....wametunyoosha sana
 
Kweli mkuu ndio maana mawakala wa kuagiza magari wamekuwa wengi, wanajua Watanzania wengi ni tunapenda kitonga (Spoon feeding).
 
Back
Top Bottom