Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,666
- 5,058
Kweli wewe mzoefu, hiyo stick ulivyo irollMkuu hongera kwa kuacha pombe, karibu kwenye chama letu [emoji116][emoji1787]View attachment 1875883
Kweli wewe mzoefu, hiyo stick ulivyo irollMkuu hongera kwa kuacha pombe, karibu kwenye chama letu [emoji116][emoji1787]View attachment 1875883
Kichwa yangu ya panzi situmii kilevi yoyoteMkuu hongera kwa kuacha pombe, karibu kwenye chama letu [emoji116][emoji1787]View attachment 1875883
Range ya mshahara ni 450000 kwa mweziHizi receipt za mwezi Julai zinahusiana vipi na huu uzi ??
Range ya mshahara ni 450000 kwa mwezi
Nimetafuta namna ya kuacha hii kitu nimeshindwa...nisaidie mawazo plsNa kweli nikinywa nakua kichaa,ndo mana nimeacha
Ukitaka kuacha inabidi uanze kupunguza idadi ya bia unazokunywa kwa siku, kama ulikua unakunywa nne anza kupunguza moja moja itafika mahali unaacha na kampani pia za wanywaji unaziacha taratibu.Nimetafuta namna ya kuacha hii kitu nimeshindwa...nisaidie mawazo pls
VizuriSasa 1,000,000 si hela ya kununulia shati.Kwa mfumko wa bei wa sasa hio ni hela ya kutumia geto wiki2
Oyaaaa mbona kama unatafuta mademu aseee ndio nini kutuwekea risiti hapa....Sio kweli
BaliSio kweli
Naomba uninunulie balimi tatu....(najua hela unazo, nishapiga hesabu hapo juu)Evelyin naona una utani na mimi
Oyaaaa mbona kama unatafuta mademu aseee ndio nini kutuwekea risiti hapa....
evely kumbe anafundisha tabora.Ni mwanamke huyo pili ni mwalimu mwenzio huko Urambo Tabora