Whether mtu ameapia jf/ kanisani/ msikitini... ni uhusiano wake huyo mtu binafsi na Mungu ndo utakaokipa hicho kiapo uhai. otherwise hiyo ahadi/ kiapo kitakuwa tu kama cha wanasiasa. So kabla hajaahidi I gave him enough time kukaa na Mungu ili ajue ni nini anakitaka + athari za kuviolate/ kuvunja hiko kiapo ili asiape kama fashion. Mwisho wa siku he came with the vow "I promise", na sio "I promise I will try" ( sijui kama umeona utofauti) . Kwa hiyo me nachochea tu na maombi ili hofu ya Mungu izidi ndani yake. Amen
C.c
Paulo Sergio De Souz