Mrejesho ajali ya coaster Tanga

Pole sana mkuu na ni jambo jema kijana wetu yupo salama...
Wishing y'all a quick recovery na wepesi kwenye maumivu mnayoyapitia.

Well na kwa wale fallen brothers and sisters walio poteza uhai wao kwenye ajali hiyo hii ni special kwao.
May their souls find peace.
 
Mungu mkubwa..pole sana utapona wewe na mtoto wako
 
pole sana mkuu Mungu akuponye na upate nguvu.. na mpe pole mtoto jamani
 
Pole sana mkuu kipumbwi naona ni wa nyumbani hopefully michungwani. Nikipata muda inshalaah jumamosi ntakucheki karibu kwemkabala
 
Inasikitisha sana. Anyway, ngoja mtakatifu anunue kwanza ndege nyingine tatu kwa cash bila procurement, halafu hayo mengine ya hospitali yatakuja 2024
 
Huna heshima kwenye uzi wa mleta mada, inaonyesha hauna lolote na tabia yako ilivyo.

Ha ha haaaa wivu.com
Pigika tu ulipo na saga meno ya ualosto na upwotopwoto

CIAO
cc. Mshana jr., Task Force. No comment for such creature mjibu nyinyi.
 
Duuh pole sana mkuu Mungu awafanyie wepesi na kijana mpone haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…