Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 344
- 306
Mratibu wa chama kipya cha Act Tanzania,jimbo la Musoma mjini Robert Saaya ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchomwa name kisu.
Mke wa marehemu alisema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni mmoja wa vijana waliofika nyumbani kwa marehemu na kulalamika kuwa mkewe alirudishiwa not I iliyochakaa baada ya kununua mkaa mchana wa siku hiyo
Ameeleza kuwa katika mabishano hayo kijana muuaji alieleza kuwa analetewa siasa jambo aliloeleza kuwa hakubaliani nalo
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Mara Paul kasabayo amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ingawa hakusema kama yanahusiana name masuala ya kisiasa.
Inadaiwa kuwa Saaya kabla ya kujiunga name Act Tanzania. alikuwa no mwanachama wa chadema akiwa ni kiongozi wa ngazi ya mkoa