Mratibu Act Tanzania auawa

Mratibu Act Tanzania auawa

Mratibu wa chama kipya cha Act Tanzania,jimbo la Musoma mjini Robert Saaya ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchomwa name kisu.
Mke wa marehemu alisema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni mmoja wa vijana waliofika nyumbani kwa marehemu na kulalamika kuwa mkewe alirudishiwa not I iliyochakaa baada ya kununua mkaa mchana wa siku hiyo

Ameeleza kuwa katika mabishano hayo kijana muuaji alieleza kuwa analetewa siasa jambo aliloeleza kuwa hakubaliani nalo
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Mara Paul kasabayo amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ingawa hakusema kama yanahusiana name masuala ya kisiasa.

Inadaiwa kuwa Saaya kabla ya kujiunga name Act Tanzania. alikuwa no mwanachama wa chadema akiwa ni kiongozi wa ngazi ya mkoa

Mkuu Jaribu ku-edit bandiko lako... ACT imeanzishwa kwa lengo la kuishambulia CDM ama malengo yao ni kukamata Dola? Something is wrong kwa akina Mwigamba et al...Blaming CDM kuanzia asubuhi hadi Usiku ndiyo sera ya maendeleo wanayotuambia ?...One msaliti always Msaliti! "waliozoea kuishi kwa Uongo, hawawezi kuishi kwenye ukweli...by Lisu"
 
Chadema ina laana ya chacha wangwe na inazidi kutafunwa na hiyo laana

Mimi nikiona vifo vya watu vinafanywa dhihaka ya kisiasa nachukia sana. Hapa nilipo natamani aliyeuwawa angekua mama yako. Maana nina hakika ungekuwa kwenye maombolezo na hizi zihaka za kitoto usingeziweka humu. Ungemuheshimu marehemu kwa kumtakia mapumziko mema na kuwataka Polisi wahakikishe wanamkamata muuaji.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Act ni majanga.kiongozi wao njaa kali anauawa kwajili ya noti chakavu ya alfu.kweli ccm imetufikisha kubaya sna watu wanauana hata kw buku,?kweli we zito kichwa maji cjui hyo zambi utaenda kutubu wapi ya usaliti,unapewa pesa wenzako huwajali angalia wanauana kwajili ya buku,.
Usifuge Kichwa kwa Ajili ya Kusitawisha Nywele na Chunusi tu,uwe unasoma ujumbe wako kabla haujautuma,Tambua Biashara ni biashara haijalishi ni biashara gani, bila mkaa kuuzwa watu watapikia nini?kumbuka ni biashara ya mke wa Marehemu hiyo,hivi watu wote wakiwa Matajiri nani atamtuma mwenzake?Hilo tukio ukilitizama kwa jicho la Tatu unagundua huyo kijana alitumwa kufanya Unyama na hiyo Noti ilitumika Kama Kisingizio tu.R.I.P
 
Jamani...huyo kiongozi embu twende mbele turudi nyuma... huyo kiongozi anatekeleza familia yake anauza mkaa mpaka anatoa noti chafu ili akip change... hiyo ACT ndo kitu gani....................ACT muwajali mafounder wenu japo tunajua fungu halitosh

Huyo kijana alitumwa Noti chakavu ni Kama ilitumika Kuwa kisingizio cha kutekeleza Unyama wake, Pia kuuza mkaa si dhambi kwani ni njia ya kujipatia kipato hivyo usidharau biashara za marehemu .
 
Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.

Acha ushabiki wa kitoto, noti chakavu inahusiana vipi na Chadema?
 
Marehemu amefarika baada ya kuuawa na kijana aliyedai Abadilishiwe Noti chakavu aliyokuwa amepewa awali na mke wa marehemu ,Ukichunguza kwa undani unajiuliza swali ,iweje huyo kijana hakuikataa hiyo Noti mapema kabla ya kubeba Mkaa ?kulikuwa na haja ya kupeleka mkaa kwanza kisha arejee kudai Noti ? Hapo kuna walakini ! Ukilitizama kwa makini tukio zima unabaini huyo kijana alitumwa kufanya Mauaji na Noti ilitumika Kama kisingizio tu.
 
Mkuu Jaribu ku-edit bandiko lako... ACT imeanzishwa kwa lengo la kuishambulia CDM ama malengo yao ni kukamata Dola? Something is wrong kwa akina Mwigamba et al...Blaming CDM kuanzia asubuhi hadi Usiku ndiyo sera ya maendeleo wanayotuambia ?...One msaliti always Msaliti! "waliozoea kuishi kwa Uongo, hawawezi kuishi kwenye ukweli...by Lisu"

ACT ndio chama makini kupita vyote tanzania
 
Huyo kijana alitumwa Noti chakavu ni Kama ilitumika Kuwa kisingizio cha kutekeleza Unyama wake, Pia kuuza mkaa si dhambi kwani ni njia ya kujipatia kipato hivyo usidharau biashara za marehemu .

Biashara ya mkaa ni chanzo kikuu cha uharibifu wa Mazingira. Kiongozi wa Chama unafanya uharibifu wa mazingira unasema sio dhambi? Ukapimwe akili wallah
 
CHADEMA mnanotion chafu sana. Mnadhania kwakuendelea kuua wanaowakataa ndio njia ya kuingia Ikulu? Mmechemka sana na hizo damu mnazomwaga zitawaandama mpaka mfe na nyinyi.
 
Ww unaetukana biashara ya mkaa mbona mama yako anapika bajia hatusemi hujuwi nchi yetu asilimia90% wanatumia mkaa fikiri kabla huja post

Wapo Wengi sana hapa Tz wamesomeshwa kwa biashara ya Bangi ,Gongo nk , Leo wanajiona wajanja wamesahau Kuwa chakula kilichowakuza kilipikwa kwa Mkaa , tambua Tanzania bila Mkapa ni mwendo wa kushinda na njaa kwani mkaa ni biashara Kama biashara zingine ukumbuke wapo wauza mkaa wamejenga majumba kwa biashara ya mkaa tu, watu wasidharau biashara ya Marehemu.
 
Mkigoma abakorakamo karibu uraiani. Sasa huyo mratibu wa Chama cha Kigoma mbona alikuwa sio mtunzaji wa mazingira? Anauza mkaa?!!

swali la kijinga.. kwani kuuza mkaa ni kosa? ACT ni chama cha watanzania wote... njoo arusha huku uone kinavyokubalika... wana arusha wamekipokea kwa shangwe na vigelegele ACT.. mwakani tunalichukua jimbo la arusha mjini na kurudisha amani arusha
 
Last edited by a moderator:
Biashara ya mkaa ni chanzo kikuu cha uharibifu wa Mazingira. Kiongozi wa Chama unafanya uharibifu wa mazingira unasema sio dhambi? Ukapimwe akili wallah

acha ujinga we taahira.. mazingira gani unayoyazungumzia..? mbona wanaouza mbao husemi..?
 
Mratibu wa chama kipya cha Act Tanzania,jimbo la Musoma mjini Robert Saaya ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchomwa name kisu.
Mke wa marehemu alisema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni mmoja wa vijana waliofika nyumbani kwa marehemu na kulalamika kuwa mkewe alirudishiwa not I iliyochakaa baada ya kununua mkaa mchana wa siku hiyo

Ameeleza kuwa katika mabishano hayo kijana muuaji alieleza kuwa analetewa siasa jambo aliloeleza kuwa hakubaliani nalo
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Mara Paul kasabayo amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ingawa hakusema kama yanahusiana name masuala ya kisiasa.

Inadaiwa kuwa Saaya kabla ya kujiunga name Act Tanzania. alikuwa no mwanachama wa chadema akiwa ni kiongozi wa ngazi ya mkoa

kazi ya sacoss ya Cdm. Hapo hamjashika dolla mko hivyo je mngeshika ingekuwaje. Kazi ipo. Watanzania tujiadhali na wachumia tumbo, wanafiki na wazandiki.
 
Huyo kijana alitumwa Noti chakavu ni Kama ilitumika Kuwa kisingizio cha kutekeleza Unyama wake .

Wangwe aliuawa kwa kusingizia ajali ya gari, hawa watu wa hatari sana wamekwisha jaribu kumpa sumu Zitto mara kadhaa.
 
Biashara ya mkaa ni chanzo kikuu cha uharibifu wa Mazingira. Kiongozi wa Chama unafanya uharibifu wa mazingira unasema sio dhambi? Ukapimwe akili wallah

Upimwe akili wewe unayefuga kichwa kwa kusitawisha nywele na chunusi, Miaka yote umekula Chakula kilichopikwa kwa mkaa Leo Ndio unaona mkaa haufai ? acha hizo , tambua Mkaa ndio tiba ya watu wa kipato cha chini ,ungejua mkaa unaharibu Mazingira ungesaidia Umeme ufike kila kona na gharama ziwe chini ili kila mtu apikie jiko la Umeme ,nahisi wewe utakuwa mtu mnene kwani Unene ukizidi mafupa hupenya kwenye Ubongo na uwezo wa kufikiri kupungua sana, piga vita unene.
 
Wangwe aliuawa kwa kusingizia ajali ya gari, hawa watu wa hatari sana wamekwisha jaribu kumpa sumu Zitto mara kadhaa.

tutawashughulikia.. wamezoea kudekezwa sana,, watatumaliza kwa ugaidi wao
 
Huyo kijana alitumwa Noti chakavu ni Kama ilitumika Kuwa kisingizio cha kutekeleza Unyama wake, Pia kuuza mkaa si dhambi kwani ni njia ya kujipatia kipato hivyo usidharau biashara za marehemu .

Kijana read btn lines.... hakuna aliyesema kuuza mkaa ni dhambi... ila kwa status ya mratibu wa chama ambaye anaki-market chama kwa public anatakiwa awe na kazi isiyomtia vishawishini.... elewa alikuwa akifanya kazi hafifu yenye kipato hafifu ndo maaana hata akagombana kwa sababu ya noti....next time mjifunze kuweka mtu tofauti kidogo(im not playing with words... fact is fact..regardles how it is delivered)... btw gone is gone... RIP mratibu...!
 
Back
Top Bottom