Jiulize swali mwenyewe hivi Kama huwa kuna kibali ina Maana wenye Kutoa Vibali ndio wamelidhia huo Uharibifu wa Mazingira,Maana Kama kuuza Mkaa ingekuwa Dhambi Leo hii Mkaa usingeuzwa mtaani , ungepigwa marufuku Kama Bangi,Gongo na mahadarati , Tambua Uongozi ni Wito hata ukiwa masikini haikuzuii kuongoza kwani viongozi Matajiri Nao wana kasoro na mapungufu Yao, jiulize swali lingine je? Huyo kijana kwa nini hakuikataa hiyo Noti awali kabla hajabeba mkaa na kuondoka ? Huoni Kama Noti ilitumika Kama kisingizio cha kutekeleza mauaji .
Mkuu umeuaa tehe tehe 0713
Hiyo chadema mnaiota hamlali hamli ni chadema tu.mtakomaje!!
CHADEMA mnanotion chafu sana. Mnadhania kwakuendelea kuua wanaowakataa ndio njia ya kuingia Ikulu? Mmechemka sana na hizo damu mnazomwaga zitawaandama mpaka mfe na nyinyi.
Na wewe acha ujeuri.... ...na huyo mratibu inawezekana alikuwa mjeuri vile vile kama wewe...unaweza ukapewa change usi pay attention kufika ndo unajua umeshikishwa....... mimi sijazungumzia mambo ya dhambi hapa... ninachosema kuuza mkaa ni kazi inayohusisha uharibifu wa mazingira sasa ili kudisplay image nzuri kwa jamii na huyo mratibu wenu mngemtafutia biashara yenye uhakika... hukuona kwamba ilikuwa rahisi kununulika? lazima muangalie mambo kwa 3D sio kuilaumu CHADEMA kama vile ndio imeshika dola. btw si vizuri kudiscuss marehemu..... apumzike kwa amani
haukatazwi kuhisi au kuwaza na tambua hisia zako si Sheria eti lazima zifuatwe endelea kuwaza uwezavyo lakini Ujue kuuza mkaa si njaa hv unajua wapo watu wamesomeshwa kwa uuzaji mkaa na Leo hii wameota Vitambi wanadharau biashara ya mkaa, bei ya gunia la mkaa kwa sasa ni tshs 40,000/= hadi 50 kulingana na mazingira na yule wa reja reja anaweza kuuza hadi tsh 80,000/= faida anapata kubwa sana jiulize mtu akiuza gunia 100 x 40,000 = 4,000,000/= na Yule wa reja reja ni 100 x 80,000 = 8,000,000/= kuna faida kubwa sana ktk hii biashara ya mkaa japo wapo watu wanaibeza sana, marehemu alijua hili ndio Maana alichagua kuuza mkaa .we kweli funza,,,zito amechukua mamilion ya shng kuhujumu cdm na amepewa donge nono na tiss kuanzisha chama,,,nakm alikuwa anampa dr uchwara kitila mtumbo laki2 ili asiliti chama,,je kwahyo mwuza mkaa c jero tu au soda kwajili ya njaa yake,,poleni wafiwa ili mjue zito ni zaidi ya shetan mlawatu
Mkoa mara mauaji ya kikatili ni jambo la kawaida na serikali ya ccm imelala
apumzike kwa aman, tutaendelea kudai mabadiliko tena kwa uwaz; ACT daimaunahamu na ndoa ya jinsia moja na wewe ndio uwe mke.usha ambiwa kisa sasa chadema wanahusikaje hapo?