Mratibu Act Tanzania auawa

Mratibu Act Tanzania auawa

Mbona unafikiri kitoto! Mkaa sio biashara? gharama ya kupikia kwa umeme nchi hii utaiweza?
Gesi huijui.
dsm bila mkaa 90% ya wakazi hawatakula.
Musoma ndio kabisa.
Kwa taarifa nilizopata marehemu ni kaka wa ukoo na mh Vicent Nyerere.
Marehemu aliwahi kuwa katibu wa chadema wilaya ya musoma.

Acha kunifundisha nishati ya kutumia..... kwanza mkaa unaharibu mazingira... na sidhani kama alikuwa anakibali ndo maana hata aliporudishiwa noti chakavu akawaka.....zunguka kote lakini lazima muwatafutie viongozi wenu kazi zenye uhakika wa kipato.....RIP mratibu
 
Biashara ya mkaa ni Kama biashara zingine tu japo wapo watu wanaibeza na wamesahau Kuwa wameota Viambi kwa Vyakula vilivyopikwa kwa jiko la Mkaa,nyama choma zote ni Mkaa unahusika wapo wasomi wamesomeshwa kwa pesa za Mkaa Leo wanaubeza mkaa ! Mkaa ni Mhimili mkuu wa Lishe japo unaharibu mazingira lakini Hakuna jinsi lazima utumike tu hadi siku Umeme ukisambaa Nchi nzima na Gharama zake Kuwa nafuu kwa watu wa kipato cha chini.watu wasidharau biashara ya marehemu , poleni familia wote kwa ujumla.
 
Biashara ya mkaa ni chanzo kikuu cha uharibifu wa Mazingira. Kiongozi wa Chama unafanya uharibifu wa mazingira unasema sio dhambi? Ukapimwe akili wallah

Mbona Lema ni mwizi wa magari huo sio uharibifu wa mali za watu?
 
Acha kunifundisha nishati ya kutumia..... kwanza mkaa unaharibu mazingira... na sidhani kama alikuwa anakibali ndo maana hata aliporudishiwa noti chakavu akawaka.....zunguka kote lakini lazima muwatafutie viongozi wenu kazi zenye uhakika wa kipato.....RIP mratibu
Jiulize swali mwenyewe hivi Kama huwa kuna kibali ina Maana wenye Kutoa Vibali ndio wamelidhia huo Uharibifu wa Mazingira,Maana Kama kuuza Mkaa ingekuwa Dhambi Leo hii Mkaa usingeuzwa mtaani , ungepigwa marufuku Kama Bangi,Gongo na mahadarati , Tambua Uongozi ni Wito hata ukiwa masikini haikuzuii kuongoza kwani viongozi Matajiri Nao wana kasoro na mapungufu Yao, jiulize swali lingine je? Huyo kijana kwa nini hakuikataa hiyo Noti awali kabla hajabeba mkaa na kuondoka ? Huoni Kama Noti ilitumika Kama kisingizio cha kutekeleza mauaji .
 
Usifuge Kichwa kwa Ajili ya Kusitawisha Nywele na Chunusi tu,uwe unasoma ujumbe wako kabla haujautuma,Tambua Biashara ni biashara haijalishi ni biashara gani, bila mkaa kuuzwa watu watapikia nini?kumbuka ni biashara ya mke wa Marehemu hiyo,hivi watu wote wakiwa Matajiri nani atamtuma mwenzake?Hilo tukio ukilitizama kwa jicho la Tatu unagundua huyo kijana alitumwa kufanya Unyama na hiyo Noti ilitumika Kama Kisingizio tu.R.I.P

we kweli funza,,,zito amechukua mamilion ya shng kuhujumu cdm na amepewa donge nono na tiss kuanzisha chama,,,nakm alikuwa anampa dr uchwara kitila mtumbo laki2 ili asiliti chama,,je kwahyo mwuza mkaa c jero tu au soda kwajili ya njaa yake,,poleni wafiwa ili mjue zito ni zaidi ya shetan mlawatu
 
hili shirika la kidini toka kigoma halitadumu watauana kwa kugombania sadaka za waumini.matahira kweli haya
 
Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.

We subiri ujifungue ndio uwe unakuja jf,mimba changa inakusumbua.
 
Jiulize swali mwenyewe hivi Kama huwa kuna kibali ina Maana wenye Kutoa Vibali ndio wamelidhia huo Uharibifu wa Mazingira,Maana Kama kuuza Mkaa ingekuwa Dhambi Leo hii Mkaa usingeuzwa mtaani , ungepigwa marufuku Kama Bangi,Gongo na mahadarati , Tambua Uongozi ni Wito hata ukiwa masikini haikuzuii kuongoza kwani viongozi Matajiri Nao wana kasoro na mapungufu Yao, jiulize swali lingine je? Huyo kijana kwa nini hakuikataa hiyo Noti awali kabla hajabeba mkaa na kuondoka ? Huoni Kama Noti ilitumika Kama kisingizio cha kutekeleza mauaji .

km tungekuwa na viongozi bora wenye upeo mpana tznnia tusingekuwa hatuna haja kuharibu mazingira,tuna nishati zakutosha za umeme na gesi,,kwakuwa tunaongozwa navichwa maji ya ccm kilakitu hovyo hovyo,,natamani hi nch ingepinduliwa kwanza kwa mda ili inyoke
 
Kijana read btn lines.... hakuna aliyesema kuuza mkaa ni dhambi... ila kwa status ya mratibu wa chama ambaye anaki-market chama kwa public anatakiwa awe na kazi isiyomtia vishawishini.... elewa alikuwa akifanya kazi hafifu yenye kipato hafifu ndo maaana hata akagombana kwa sababu ya noti....next time mjifunze kuweka mtu tofauti kidogo(im not playing with words... fact is fact..regardles how it is delivered)... btw gone is gone... RIP mratibu...!
Jiulize kwa nini hakuikataa hiyo Noti mapema kabla hajabeba mkaa? iweje mkaa anunue mke wake na noti apewe mke kisha aje kudai yeye?kuna Uhakika gani Kama huyo kijana hakuichakachua hiyo noti kisha kusingizia imetoka kwenye muuza mkaa?Ukilitizama tukio zima kwa jicho la tatu ,utagundua huyo Kijana alitumwa kutekeleza Mauaji tu,Kumbuka biashara ya mkaa si biashara ya kubeza wapo wengi wamesomeshwa kwa biashara hiyo Leo hii wanajidai wajanja, kila biashara huwa ina uzaji wa Jumla na rejareja ,hv unajua bei ya Guni 100 za mkaa? Mkaa una faida kubwa sana ndio Maana watu wameng'ang'ania kuuza . Watu msidharau biashara ya marehemu .
 
Back
Top Bottom