hivi kile chama bado kinaendeleza umafia tu? wataua wangapi sasa? waliua makamu m'kiti na mbunge wa huko na sasa kinaua mpaka wanachama waliokihama. ama kweli haya ni majanga na Mungu atuepushie mbali kabisa na chama cha aina hii. mungu ailazi roho ya jemedari huyo mahali pema peponi. Amin.