Kweli mungu akiamua kuadhibu anaadhibu na ukoo mzima
hatimae ile sendoff ya mtoto wa mramba,iliofanyika kwa shangwe hatimae harusi kufanyika jumamosi hii wakati mzee akiwa keko
habari zaidi zinasema wanaharusi wote wameamua kupita keko sehemu ya jela anapoishi kwa kumkumbuka mkwewe ,na then msafara utaelekea kwenye ukumbi!!!
Habari nyingine zinasema ,mtoto wa mwisho wa mramba atalishwa keki kwenye harusi kwa niaba ya baba yake
na baada ya hapo!!!!dreva atapeleka kipande cha harusi pale
keko akiongozana na baba wa mume(mr msiba) kwa ajili ya kwenda kumsabahai
mzazi mwenzake!!!! Kweli wacha tuoane wenyewenye kwa wenyewe
pole mzee wangu kila la kheri

Aaaaaaahhhh jamani,si tumeambia hapahapa mawakili wanahangaika kukata rufaa dhidi ya vigezo vya dhamana ili waweze kumtoa nje mshitakiwa leo au kabla ya siku ya Ijumaa kuisha ili aweze kuhudhuria send-off ya binti yake.
Kama ikishindikana wanijulishe tu ili ni mwakilishe Mr.Mramba kuliko wao kwenda kuwaringishia wafungwa hayo mapochocho na wingi wa watu tuu.
Acha uzushi wewe. habari yenyewe haina hata mwelekeo. Ukiandika habari isome kwanza kabla ya ku-post
Huu ni ushauri tu kwa wanawake wa viongozi wetu, maana kesi hizi za kifisadi washtakiwa wengi (asilimia kubwa ni kina baba). Mama zetu, mnapoona hali za nyumbani kimaslahi zinabadilika ghafla... tafadhalini wapeni simile hao mahusband wenu! Kipato chao mwakijua, hayo mabadiliko ya ghafla muyawekeeni alama ya kuuliza, wakalisheni kitako na muwaambie STOP! sio mnashangilia tu! mwisho wake ndio huu. Mama fulani alilia pale Bungeni Dodoma siku ya Richmond! Msije mkasema laiti ningelijua!!! Muwe na kiasi!